Sale: Queen Elisabeth - Cocoa Butter

mamakibunju

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,014
1,195
queen elisabeth 2.jpg queen elisabeth 2.jpg Nauza cocoa butter maarufu kwa jina la Queen Elisabeth kwa Jumla na RejaReja, Jumla 25,000 kuanzia Kopo 25, na RejaReja 28,000 anayeitaji ani PM .....
 

taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,943
2,000
Nipigie namba hii nataka moja au mbili.0717 37 46 41
 

Jael

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
68,277
2,000
ni mafuta mazuri sana ndio ninayotumia, afadhali yanazidi kushuka bei, ila isije ikawa made in tz maana wabongo hatujambo kwa uchakachuzi tukisaidiwa na mchina, teh
 

mamakibunju

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,014
1,195
ni mafuta mazuri sana ndio ninayotumia, afadhali yanazidi kushuka bei, ila isije ikawa made in tz maana wabongo hatujambo kwa uchakachuzi tukisaidiwa na mchina, teh

Original 100%👌👌👌👌
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom