Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,877
Niwashauri tu koa lakini si bank jamani..kuna siku nilikimbilia mkopo wa million kumi bank moja pale sayansi bila kujua nikaambiwa wanataka 300,000 sijui ya kwenda shambani kufanya upembuzi wao waende na wizarani kuhakiki.
Baada ya hapo nikaitwa kwenda kuangalia nalipa mil 13 yaani faida ya 3.m nawaachia..hiyo cha mtoto nikawanapewa maakaratasi nisaini nikaona kwenye mill kumi wamekata 1.5 inabaki ofisini kwao ati incase nimeshindwa kulipa malipo kwa wakati zile penalty wananikata hukoo
Uwiii nilisikia haja kubwa sina hamu kabisa yaani nakopa mil 8.2 kulipa 13,m aisee nilianza kuzibariki bpoint kabla awajavunja kwanza loh thx nilishaaamaliza yaani