Huu mkopo umenitesa jamani! tangu 2012 nilikopa kama 15m hamna cha maana nilichofanya zaidi ya kuishia kununua gari kuu kuu na kiwanja feki kilicho na kesi hadi leo.
Nimekoma nimekoma kukopa bila malengo maalum,lakini hata kama nna malengo maalum basi umakini unahitajika kuyafikia malengo hayo nimejifunza aisee hayo makato sasa uwii.
Kwa wale msiokopesheka mpite hivi.
hata hivyo DENI LIMEISHA MWEZI HUU...GLORY TO GOD..NILIKUA NIFE MWENZENU