Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

CAMANGA

Member
May 14, 2023
53
259
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane
Screenshot_20240101-111426.jpg
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding View attachment 2859119
Safiii
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Shida kubwa ni kwa mkopaji.
Unapóenda kukopa unafurahu na wakati mwingine unakopa bila hata sababu ya msingi.
Terms unapewa na kiasi utakacholipa unaona poa maana macho yako yako kwenye mkopo. Ikifika muda wa kulipa sasa...
 
Serekali ilikushauri na kukulazimisha ukakope??

Kukopa ukope mwenyewe, hela utumbue mwenyewe Kisha uilaumu serekali, mkuu uko Sawa kweli?

Kwann huu uzi haukuufungua wakati unafikiria kukopa?
Yaani hapo nilienda kukopa huko coz sikuwa na vigezo vya kukopa bank,

Kwa maana nilikuwa AJIRA mpya nikiwa sina barua ya AJIRA na barua ya kuthibitishwa kazini

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli. We jamaa una mshahara mdogo sana ina bidi utafute chanzo kingine cha mapato.

Ukiangalia iyo PAYEE unayolipa (Elfu 14) ukipiga kwenye calculator inamaanisha mshahara wako ni 450,000/= baada ya kutoa contribution za Bima ya Afya na NSSF.

Screenshot_20240101-113619.png

Duh pole mkuu. Tafuta hela.
 
Pole sana Mkuu

Bora uende ukakope Benki za biashara kama CRDB, NMB, NBC n.k lakini sio hao matapeli ambao hata kama utakuwa na cash wanasumbua kufanya Top-up

Kuna msaidizi wangu ofisini alikopa kwenye hivyo vitaasisi vya fedha.....hao Jamaa walichukua Kadi ya Benki ya huyo jamaa

Ni some sort ya Utumwa fulani aisee

Sorry
 
Sio kweli. We jamaa una mshahara mdogo sana ina bidi utafute chanzo kingine cha mapato.

Ukiangalia iyo PAYEE unayolipa (Elfu 14) ukipiga kwenye calculator inamaanisha mshahara wako ni 450,000/= baada ya kutoa contribution za Bima ya Afya na NSSF.

View attachment 2859128

Duh pole mkuu. Tafuta hela.
Bado hajasemaa, mpaka anyooke abaki fuvu tuu 😂
 
Back
Top Bottom