Salamu zenu

Samahani mkuu Bavaria, ila wengine tushatoa mahari kwingineko, sasa kutuwekea picha kama hizi sio fair bana! Unatufanya tuwaze mara mbili mbili ujue...NOT FAIR AT ALL...

cc: Viol

Uamuzi ni wako kaka.
Kama mahari inarudishwa sawa tu.
Ila chagua moja and do an opportunity costs concept.
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu Bavaria, ila wengine tushatoa mahari kwingineko, sasa kutuwekea picha kama hizi sio fair bana! Unatufanya tuwaze mara mbili mbili ujue...NOT FAIR AT ALL...

cc: Viol
tatizo ni kwamba kuna picha ukiwekewa unahisi unamegewa tayari,unakuwa unajistukia,not fair at all.
 
Samahani mkuu Bavaria, ila wengine tushatoa mahari kwingineko, sasa kutuwekea picha kama hizi sio fair bana! Unatufanya tuwaze mara mbili mbili ujue...NOT FAIR AT ALL...

cc: Viol

mkuu unaweza shinda unajilaumu kwa kuwahi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…