Samahani mkuu
Samahani mkuu
Kuna siku HSBC walinipigia simu saa 10 usiku.
Nilikasirika sana. Nikaangalia muda nikajua huko ndo mambo yamepamba moto.
Hii time difference mbaya sana. Ukitaka kuongea vitu vya muhimu na mtu wa nje inabidi u sacrifice ur sleep.
Hata mkeo akikukuta unachepuka anakupigia makofi
wanaume tunapitia wakati mgumu sana.