Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,461
- Thread starter
- #21
Bila shaka alishakupiga na picha akaibandika huko
"sweet husband" mfatilie zaidi
Hahahaaaa!! Daah!! Ulivyopatia sasa.....!! hapana kwangu mimi hawezi kupata fursa hiyo! Kaishia kwenye mazingira yetu tu, baada ya kupata taarifa nikafatilia sana na ningejikuta huko pangechimbika live live!!