Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,798
- 218,436
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe ambaye pia anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za Idd el Adha kwa Waislam wa Tanzania na Duniani kote.
Ujumbe wake huu hapa , Nanukuu " Eid El Adha ni Ukumbusho wa Unyenyekevu na kujitoa . Vitu hivi viwili ni muhimu si tu kwa ustawi wa Jamii , bali pia katika kujenga ukaribu na Mwenyezi Mungu " mwisho wa kunukuu .