Makamanda,
Hii shughuli ya kutoa elimu ya uraia na ukombozi uwa ni kujitolea au ina malipo?
Kwa maana kama ni kujitolea, ina maana ni wito, hivyo dhana nzima ya ukombozi inakua na maana na mantiki.
Ila kama ni shughuli yenye malipo, ina maana hiyo ni ajira (kazi) ya kwenda kupiga domo na kupotezea muda wananchi, kwa maana kwamba hao makamanda hawana jipya.
Mbona kama walinzi vile? Ni makamanda kweli au njaa?
Muulize Mwigulu Nchemba anajua speed ya kamanda mmoja wapo anaitwa Jesca, atakuambia ni mlinzi or whatever.
mwigulu kazi unayo hapo hutoki kaka lazima utageuka kenge badala ya kuwa mamba. pole bro ndio maisha hakuna mwanzo usio na mwishoSafi sana...!
Piga kazi kamanda Djumbe wala usiogope mikwara mbuzi ya Lameck Madelu kwa kamanda mwenzako Jesca Kishoa. Kwa namna mwigulu anavyotapaatapa hadi kuanza kumtishia Jesca ni dhahiri kuwa maji yamemfika shingoni na hana namna ya kujinasua ni lazima azame mtoni hata kama anajiita mamba basi uwezo wake wa kukata maji mtoni umekwisha.
Imani yangu ni kwamba kazi unayoifanya kanda ya kati hasa mkoani Singida ni kubwa sana na Mungu ataendelea kuwasimamia na kuwalinda kwakuwa tunawaombea kila siku ili Mungu awaepushe na kuwalinda na hila za muovu mwigulu asije akafanikiwa kuwadhuru ili hatimaye wana wa Iramba wapate kutambua hila za mbunge wao aliyeshindwa kutimiza majukumu yake na kujikita katika kufanya siasa za majitaka dhidi ya watanganyika wenzake.
mwigulu kazi unayo hapo hutoki kaka lazima utageuka kenge badala ya kuwa mamba. pole bro ndio maisha hakuna mwanzo usio na mwisho
Njooni Iramba na mutaona Kama mtapata kitu maana wanyiramba sio wachaga ambao mnawaburuza kila kitu. Ila tu musikimbie mambo yakiwa yameharibika maana yake mjuwe nasi tumejiandaa kuwasikiliza. Tutashindana kwa nguvu ya hoja na sio kwa hoja ya nguvu. Lakini Chonde Chonde djembe wake zetu maana unasifa mbaya sana ikifika kwa wanawake