Sio mkoloni mweusi mkoloni ccmKila la kheri makamanda ni mbele kwa mbele vita dhidi ya mkoloni mweusi.
Ninyi mmeenda kumtukana
tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi
karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako
limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!
Mbona kama walinzi vile? Ni makamanda kweli au njaa?