Salamu ya Mbowe yatikisa Mahakama Kuu, Shangwe zazizima Mahakamani

Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Hao wakiipata mabwana ulaya wewe ulijuaje? Au mnashare hao mabwana ndio maana umeandika kwa uchungu.....
 
Ngoja waje!

Mbowe kwenye hotuba yake alimuomba Mama awaponye wana vidonda vya moyo, mmama wa watu akachukua zake pilipili na mbilimbi akawamwagia rohoni!

Afu yeye hana habari anavaa zake sare za kijeshi na kujikunja kuja kwa kujinyisha eti naye ni komando! Ahahahahah hii dunia hii!
Umeongea kwa uchungu sana kabisa aisee umenena
 
sasa hapo erythrocyte cha ajabu ni kipi ulichoona wewe ulitaka akisalimia asijibiwe au?mbona ni kitu cha kawaida mno hakuna shangwe wala nini yaani unajipaga matumaini ya kijinga kweli huyo abubakar wako anayea ndoo na kufungwa anafungwa yupo kwa mawakili wachumia tumbo hawana hoja kila pingamizi linatupwa mmaana yake hawajui sheria na lissu kashamshit mbowe hana time naye mwalimu naye kajikalia zake zamnzibar anakula urojo yeye kila siku mahakamani
MONA SIKU HIZI WAZUNGU HAKUNA WAMESHAWACHOKA MAPEMA HII?
Mjane unateseka sana...njoo Kasumbalesa upoteze mawazo....
 
Mnapoambiwa kuna watu na kuna viatu muwe mnaelewa, Huyu Mwamba Mbowe ni Mtu mzito hasa , sasa utajuaje uzito wa mtu hasa pale anapoingia mahali fulani?

Fuatilia video hii halafu sikiliza kwa makini SALAMU KABAMBE YA FREEMAN MBOWE kwa wote waliohudhuria mahakamani siku ya leo, halafu fanya tathmini yako kimoyomoyo.

Hivi inawezekanaje mtu mmoja akakwamisha shughuli zote za serikali kwa kiwango hiki?

View attachment 2012814
Ila leo naomba niseme kitu we Erythrocyte ni mwanachadema original huyumbi...
Hongera sana....
Ww na chadema chadema na ww....
sio usiku sio mchana sio asubuhi sio jioni ww ni CDM.....
 
Mnapoambiwa kuna watu na kuna viatu muwe mnaelewa, Huyu Mwamba Mbowe ni Mtu mzito hasa , sasa utajuaje uzito wa mtu hasa pale anapoingia mahali fulani?

Fuatilia video hii halafu sikiliza kwa makini SALAMU KABAMBE YA FREEMAN MBOWE kwa wote waliohudhuria mahakamani siku ya leo, halafu fanya tathmini yako kimoyomoyo.

Hivi inawezekanaje mtu mmoja akakwamisha shughuli zote za serikali kwa kiwango hiki?

View attachment 2012814
kuna watu kutoka Timu ROHO Mbaya watasema hivi askari walikuwa wapi kumruhusu Gaidi kutamba tamba namna hii mahakamani.
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Tunakula bia kwa uhuru. Uonezi itekwaji uuwaji umekwisha. Tulikuwa na kiongozi mbaya sana
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Usimfananishe Mbowe na huyo mwendawazimu hayati wenu bana!
 
Pole kwa ukiwa!!!!
 
Nje ya Mada bi, dada.. kwani CHADEMA ndio wanatawala au ndio siku zako zimekujia vibaya..😄😃😀
halafu Samia na Magufuli si ni kitu kimoja au TAGA umetiwa dole la macho na Samia, sio kwa kupuyanga huku.😄😃😆
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Kwa mawazo haya basi Mandela alikosea kuwapokonya madaraka wazungu maana kiuchumi SA ilikia juu sana kipindi cha mabeberu kuliko sasa ambacho anaongoza mtu mweusi ila uchumi ndio una hali tete hasa kwa watu weusi!!

Main theme ni kwamba JPM hakukubalika sababu ya style yake ya uongozi ila sio ujenzi wa mabarabara au kupambana na ufisadi. Same to Idd Amin ama Kagame uchumi wa nchi zao umepanda sana kipindi cha utawala wa kidikteta ila je kuna Mnyarwanda au Mganda anakubaliana na style ya uongozi wa hao wawili??

So msilazimishe utendaji wa mtu uzibe udikteta wake, Hiyo haitatokea kamwe.
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Nasema hivi afe tena huko.Hatumtakii
 
Back
Top Bottom