Salamu ya Mbowe yatikisa Mahakama Kuu, Shangwe zazizima Mahakamani

siku hukumu ikitoka tutakimbiana humu jf!! mala mtuhumiwa amekutwa na hatia hivyo anahukumiwa miaka 30 jela, Kuna watu hatutawaona tena humu jf!
 
Sasa Hapo kuna maajabu gani? wakati wote waliopo Hapo ni chadema tupu, Mtu mwenye kazi yake anaweza poteza mda Wake ilikudhulia kesi ya Mbowe kila siku,hapo kuna watu wanalipana posho ili kujaza ukumbi wa mahakama😀😃😀
Kwa hiyo hata cc tulivyokuwa tunajaa kusikiliza sera za vyama tulikuwa tunalipwa?
Hao Chadema basi wanahela sana hadi wanawalipa wasiofanya kazi
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Ni huyu magufuli ambaye hakutoa hata senti za mitambo kufanyiwa service huyu magufuli aliyeiba hela za watu kwenye akaunti zao na kuziweka kwenye mradi wa SGR ni huyu Magufulli aliyepora hera za mifuko ya hifadhi na kuwaacha wastaafu alishindwa kulipa mpaka leo ni huyu magufuli aliyeuwa nfumo wa kibenki nchini na kuziacha benki kufa kifo cha menda ni huyu jambazi magufuli aliyepora mifugo ya wafugaji na kupora fedha magufuli ni mwizi jambazi kama walivyo wana ccm wote ni kizazi cha laana kama Samia alivyo Magufuli ni shetani aliwaacha watu wakafa kwa kudhulumiwa pesa zao,magufuli muuaji nani ana mkumbuka labda wewe maana ulinufaika ukiwa kipindi cha wasiojulikana
 
Kwa hiyo hata cc tulivyokuwa tunajaa kusikiliza sera za vyama tulikuwa tunalipwa?
Hao Chadema basi wanahela sana hadi wanawalipa wasiofanya kazi
Mtu mwenye family na kazi yake hawezi kila siku anamkia mahakamani eti kusikiliza kesi ya Mbowe,labda uwe kula kulala au unapewa posho ili kuonyesha Wazungu kuwa Mbowe anakundi nyuma yake wanaomsaport
 
Mtu mwenye family na kazi yake hawezi kila siku anamkia mahakamani eti kusikiliza kesi ya Mbowe,labda uwe kula kulala au unapewa posho ili kuonyesha Wazungu kuwa Mbowe anakundi nyuma yake wanaomsaport
Umasikini wako hauwahusu watu wengine
 
HUYU NI ZAIDI YA KOMANDOO NDIYO MAANA GAID MBOWE MPAKA SASA ANATAWAZIA KARATASI
Mwanangu usiseme hivyo, aisee 'ndani' yaani namaanisha GEREZANI ni pa kila mtu hata huyuhuyu Mama kuna siku Mungu akiamua unaweza kushangaa ananyea debe tena mbele ya malaya na wavuta bange wakiwa wanamsubili amalize nawao waingie.

Leo unasema hivi kwasababu upo huru tu na pengine hujafikwa, mm ni mfuasi kindaki-ndaki wa CCM na nimekuwa kiongozi mkubwa tu,lakini usimcheke mwenzio kuingia ndani bali Mshukuru Mungu kwa matendo yake makuu, ndani pa kila mtu braza, unaweza leo hii tu ukawa unatembea na gari ukamgonga mtu tena kwa bahati mbaya ukaishia jera tu halafu ukajikuta unafunguliwa kesi ya Ugaidi na utakatishaji pesa au kuua kwa kukusudia!

Polisi unayemuamrisha amkamate mharifu,ndiye huyo huyo atakaye kukamata kesho akiamrishwa afanye hivyo na atakutia vibao na kukudhalilisha usiamini kinachotokea.

Maisha hugeuka sana na hubadilika muno, sanasana wenzetu wapatapo mitihani tujitahidi kuwaombea na kuitumia mitihani yao kama funzo kwetu, Mungu akiamua unaweza kushangaa Mbowe ni Rais wa nchi, tena Samia akiwa hai hapo ndo utajiuliza kwann maisha hubadilika kiasi hiki, staki nikutolee mfano wa Zambia.

Hivyo, we can make a better society which cares lives when we get to know that everyone is valuable and deserves to be of important. CCM au CHADEMA au CUF au vyovyote vimetufanya kuwa binadamu wa ajabu sana katika nchi yetu moja, Mungu atuepushie roho ya kuonana hatufai kwakuwa tuko upande fulani.

I believe kuna watu wanaumia sana kisa Mbowe yuko ndani mfano Mke wake, watoto wake, waajiriwa wake n.k kuna watu wanakosa mlo kisa Mbowe yuko ndani.

Pia, pengine kuna watu waliumizwa sana kutokana na uenyekiti wa Mbowe tu,au kuna watu aliwafanyia mabaya na maovu; kama hivyo basi ni wakati wake kujitafakari na kujitathimini na kumuomba msamaha Mola wake.

Upendo ni nguzo ya kuleta mafanikio na amani ya kweli yaani UTULIVU WA ROHO!
 
whats the difference btn "bwana yesu asifiwe" na "tumsifu yesu kristo" ???

wapinzani nao wameiga salamu isiyoeleweka ya JPM... by the time Samia anatoka wapinzani watakuwa wanasaliamana kwa jina la jamhuri ya Tanzania
 
Back
Top Bottom