Salamu ya Mbowe yatikisa Mahakama Kuu, Shangwe zazizima Mahakamani

Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Umeelewa hilo bandiko au mahaba ya mumeo yamekuziba macho? Huyo bwana yako magufuli kamfuate huko kwenye shimo lake kama unampenda sana. Sisi tuachie ya joto letu.
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
usisahau joto pia
 
Mnapoambiwa kuna watu na kuna viatu muwe mnaelewa, Huyu Mwamba Mbowe ni Mtu mzito hasa , sasa utajuaje uzito wa mtu hasa pale anapoingia mahali fulani?

Fuatilia video hii halafu sikiliza kwa makini SALAMU KABAMBE YA FREEMAN MBOWE kwa wote waliohudhuria mahakamani siku ya leo, halafu fanya tathmini yako kimoyomoyo.

Hivi inawezekanaje mtu mmoja akakwamisha shughuli zote za serikali kwa kiwango hiki?

View attachment 2012814
Sasa Hapo kuna maajabu gani? wakati wote waliopo Hapo ni chadema tupu, Mtu mwenye kazi yake anaweza poteza mda Wake ilikudhulia kesi ya Mbowe kila siku,hapo kuna watu wanalipana posho ili kujaza ukumbi wa mahakama😀😃😀
 
Ahah

Ahahahahah baada ya uchaguzi Lisu akawaomba Watanzania wote waandamane, wao wakampotezea tu wakaendelea kula bata,akaona isiwe tabu akala zake kona na kuenda kula mademu Ubelgiji..ahahaha
 
Sasa Hapo kuna maajabu gani? wakati wote waliopo Hapo ni chadema tupu, Mtu mwenye kazi yake anaweza poteza mda Wake ilikudhulia kesi ya Mbowe kila siku,hapo kuna watu wanalipana posho ili kujaza ukumbi wa mahakama😀😃😀
Kwani CHADEMA bado ipo? CCM walinunua majembe yote na wengine kuhongwa ukuu wa wilaya na uwaziri?

Umesahau usajili wa Bashiru na Polepole?

Si mlishaiua?
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Ni kweli hata baba na mama waliotuleta duniani hawakuwahi kufanya la maana kama marehemu ndiyo maana tuna lalamika mpaka leo
 
Mnapoambiwa kuna watu na kuna viatu muwe mnaelewa, Huyu Mwamba Mbowe ni Mtu mzito hasa , sasa utajuaje uzito wa mtu hasa pale anapoingia mahali fulani?

Fuatilia video hii halafu sikiliza kwa makini SALAMU KABAMBE YA FREEMAN MBOWE kwa wote waliohudhuria mahakamani siku ya leo, halafu fanya tathmini yako kimoyomoyo.

Hivi inawezekanaje mtu mmoja akakwamisha shughuli zote za serikali kwa kiwango hiki?

View attachment 2012814
sasa hapo erythrocyte cha ajabu ni kipi ulichoona wewe ulitaka akisalimia asijibiwe au?mbona ni kitu cha kawaida mno hakuna shangwe wala nini yaani unajipaga matumaini ya kijinga kweli huyo abubakar wako anayea ndoo na kufungwa anafungwa yupo kwa mawakili wachumia tumbo hawana hoja kila pingamizi linatupwa mmaana yake hawajui sheria na lissu kashamshit mbowe hana time naye mwalimu naye kajikalia zake zamnzibar anakula urojo yeye kila siku mahakamani
MONA SIKU HIZI WAZUNGU HAKUNA WAMESHAWACHOKA MAPEMA HII?
 
Ngoja waje!

Mbowe kwenye hotuba yake alimuomba Mama awaponye wana vidonda vya moyo, mmama wa watu akachukua zake pilipili na mbilimbi akawamwagia rohoni!

Afu yeye hana habari anavaa zake sare za kijeshi na kujikunja kuja kwa kujinyisha eti naye ni komando! Ahahahahah hii dunia hii!
HUYU NI ZAIDI YA KOMANDOO NDIYO MAANA GAID MBOWE MPAKA SASA ANATAWAZIA KARATASI
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Lengo la kuandika pumba ndefu ni kuwa na wewe unataka bwana ulishwe bure au nini?
Funguka aisee tupo hapa wa kukulisha buree maisha yako yote.
 
MB
Anafanya kwa ajiri yao,kupora pesa,kesi za kubambikia,uongo mwingi(tunajenga kwa pesa ya ndani kumbe tunakopa).
Watu kuuliwa kinyama na maiti zao kuwekwa kwenye viroba,uchaguzi wa kijambazi,
Kama Maghu alikuwa anapendwa sana na watu kwanini alihofia matokeo ya uchaguzi mkuu mpaka ikabidi atumie vitisho na dola kutangaza anaowapenda?
JPM alikuwa shetani kasoro mkia
ONA MBOWE ALIOWAPOTEZA HAMUWASEMI WANGWE SAANANE NA WENGINE KIBAO WACA AKOME SASA
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Sisi tunaendelea kufurahia huyo dhalim anavyoteseka huko jehanam

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom