chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,824
siku hukumu ikitoka tutakimbiana humu jf!! mala mtuhumiwa amekutwa na hatia hivyo anahukumiwa miaka 30 jela, Kuna watu hatutawaona tena humu jf!
Mumeo Sabaya wameshamtoa mgolo huko kisongo kudadadeqGaidi wako anaendeleaje pale central?
Kwa hiyo hata cc tulivyokuwa tunajaa kusikiliza sera za vyama tulikuwa tunalipwa?Sasa Hapo kuna maajabu gani? wakati wote waliopo Hapo ni chadema tupu, Mtu mwenye kazi yake anaweza poteza mda Wake ilikudhulia kesi ya Mbowe kila siku,hapo kuna watu wanalipana posho ili kujaza ukumbi wa mahakama😀😃😀
Uongo wa kijinga hautokusaidia lolotedemu wa mbowe huyo anahangaika mara abubakar mbowe mara nini lakini huyo ni gaidi tu
Ni huyu magufuli ambaye hakutoa hata senti za mitambo kufanyiwa service huyu magufuli aliyeiba hela za watu kwenye akaunti zao na kuziweka kwenye mradi wa SGR ni huyu Magufulli aliyepora hera za mifuko ya hifadhi na kuwaacha wastaafu alishindwa kulipa mpaka leo ni huyu magufuli aliyeuwa nfumo wa kibenki nchini na kuziacha benki kufa kifo cha menda ni huyu jambazi magufuli aliyepora mifugo ya wafugaji na kupora fedha magufuli ni mwizi jambazi kama walivyo wana ccm wote ni kizazi cha laana kama Samia alivyo Magufuli ni shetani aliwaacha watu wakafa kwa kudhulumiwa pesa zao,magufuli muuaji nani ana mkumbuka labda wewe maana ulinufaika ukiwa kipindi cha wasiojulikanaHabari.
Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.
Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.
Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.
Malipo ni hapa hapa duniani.
Mtu mwenye family na kazi yake hawezi kila siku anamkia mahakamani eti kusikiliza kesi ya Mbowe,labda uwe kula kulala au unapewa posho ili kuonyesha Wazungu kuwa Mbowe anakundi nyuma yake wanaomsaportKwa hiyo hata cc tulivyokuwa tunajaa kusikiliza sera za vyama tulikuwa tunalipwa?
Hao Chadema basi wanahela sana hadi wanawalipa wasiofanya kazi
Umasikini wako hauwahusu watu wengineMtu mwenye family na kazi yake hawezi kila siku anamkia mahakamani eti kusikiliza kesi ya Mbowe,labda uwe kula kulala au unapewa posho ili kuonyesha Wazungu kuwa Mbowe anakundi nyuma yake wanaomsaport
Mwanangu usiseme hivyo, aisee 'ndani' yaani namaanisha GEREZANI ni pa kila mtu hata huyuhuyu Mama kuna siku Mungu akiamua unaweza kushangaa ananyea debe tena mbele ya malaya na wavuta bange wakiwa wanamsubili amalize nawao waingie.HUYU NI ZAIDI YA KOMANDOO NDIYO MAANA GAID MBOWE MPAKA SASA ANATAWAZIA KARATASI