Binafsi sijadiliani na machizi hivyo ulivyoviandika ni mawazo ya Machizi waliopita kabla yako.Nikishaona mtu hajui tofauti ya "ajidhihirishe" na "hajidhihirishe" tu nakosa nguvu ya kuendelea kujadiliana naye kimantiki.
Huyu ni mtu ambaye hata kuandika herufi za Kiswahili tu ni mgogoro.
Sasa huyu kweli naweza kumpa link ya essays za Bertrand Russell tujadili falsafa ya dini kimantiki na kupangua logical fallacies?
Ndio mada iliopo mezani!Roho Mtakatifu kwa kiingereza anaitwaje?
Hapo wote mmekutana,karibu Mirembe!Binafsi sijadiliani na machizi hivyo ulivyoviandika ni mawazo ya Machizi waliopita kabla yako.
Yaani huko kupumua tuu ni Mungu anakupa maana,huwanyeshea mvua wazuri na wabaya,Huyo Mungu!Kupumua kwangu kuna husiana vipi na huyo Mungu?
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Sio kurukia kusema mifumo yangu na kupumua kwangu ni Mungu.
Hakuna Mungu anaye nifanya nipumue.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Nikisha sadiki yeye inamsaidia nini?
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
Hili ni tatizo la Akili.Suruhisho la yote uliyaandika yanatatulika na Akili ya kawaida ya kibinadamu kwangu maneno yako yanadhidi kunithibitishia kwamba kichwa chako ni Box.Logical non sequitur fallacy.
Mtu ambaye hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akishindwa kujidhihirisha hakuna cha ajabu hapo, hakuna kitu ambacho hakina logical consistency.
Huyu mtu hana uwezo wote, hana ujuzi wote, hana upendo wote, inawezekana kashindwa kujidhihirisha kwa sababu hana uwezo wa kujidhihirisha tu, hajasema ana uwezo wote.
Mnaposema kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, Mungu huyo hana excuse ya kutojidhihirisha.
Kwa maana mnasema ana uwezo wote, ana ujuzi wote, ana upendo wote.
Kwa nini hajajidhihirisha kuwa yupo kwa njia ambayo kila mtu atajua bila shaka atumalizie hii mijadala ya kila siku na vita za kidini zisizoisha?
Elon Musk ni irrelevant kwenye mazungumzo ya Mungu kuwapo au kutokuwapo.Hujaelewa vizuri sijasema Elon ni Mtheologia.
Na pia Atheists wengi ninao wazungumzia ni hawa wa Tanzania
na Afrika ambao wameacha kumuamini Mungu kisa wamesoma,
wamepata exposure na wengine wamefanikiwa kidogo kiuchumi.
Ndio nikauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ni mwana
sayansi na tajiri vitu ambavyo vingem tempt kusema hakuna
Mungu. Yeye nimemtumia kama mfano tuu wapo wengine wengi
Hebu wewe tupe jibuKumbuka mnaamini kwamba Mungu ni muweza wa vyote na mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele.
Sasa huyo Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba kuna binadamu watakuja kutokumwamini, Awadhibiti na kuwazuia mapema?
Kuwapo kwa machizi ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Binafsi sijadiliani na machizi hivyo ulivyoviandika ni mawazo ya Machizi waliopita kabla yako.
Sijadiliani na mtu asiyejua tofauti ya "suruhisho" na "suluhisho".Hili ni tatizo la Akili.Suruhisho la yote uliyaandika yanatatulika na Akili ya kawaida ya kibinadamu kwangu maneno yako yanadhidi kunithibitishia kwamba kichwa chako ni Box.
Mkuu kuna kipindi ulikua una jadili kwa hoja sasa naona umerudi kwenye uhalisia wako.Wamedata
Huwajui baadhi ya Wabongo shobo zao kwa watu wenye pesa?Kwamba kila asemacho Elon ni sahihi?
Kwanza nimezungumzia Atheists wa Tanzania na piaUarabuni mbona kuna mabilionea wengi sana na wote hao wanaamini Mungu?
Ulitoa wapi hiyo bias ya kwamba matajiri hawaamini Mungu?
Hasa kwa sisi wachaga unakuta alcohol inasoma 100, kwenye kikao cha ukoo hata ukiongea pumba tu wanapiga makofi ya pongezi .Huwajui baadhi ya Wabongo shobo zao kwa watu wenye pesa?
Kwao ukishakuwa na pesa tu, unajua kila kitu.
Kwa nini unahangaika kumwelezea na kumtetea huyo Mungu?Nilishawahi kusema hawa wasiomwamini Mungu wote wana tatizo la Akili kama kuna mtu anataka kupima ninachoongea kama kuna mmoja unamfahamu anza kumfuatilia hapo ulipo.Yaani mwangalie huyu mjinga anatumia nguvu kubwa kutaka yeye athibishe uwepo wa Mungu eti huyo Mungu aje amthibitishie yeye kwamba yupo sasa hiyo ni kwamba Mungu anashida na wewe au una umuhimu sana kwa nani sasa ?Hata huyo Rais Samia ukimvunjia heshima yake hatokuja yeye kukushughulikia na uwenda usimuone kabisa iwe mahakamani au popote pale ila utashughulikiwa ila haiondoi kwamba yeye hana nguvu kisa tu hajajitetea mwenyewe Sisi tupo kwa ajili ya kuwa machawa wa Mungu kwa vile sisi ni Mali yake kama haumini maneno yangu nenda pale magogoni Ikulu pale kamtukane Rais uone atakuja yeye kukujibu au ni nini kitatokea.
Holy Spirit.Roho Mtakatifu kwa kiingereza anaitwaje?
Kabisa pia Hili suala ni gumu kwao kulitetea wanachofanya ni kushika shika kila wanachohisi kina hoja.Huwajui baadhi ya Wabongo shobo zao kwa watu wenye pesa?
Kwao ukishakuwa na pesa tu, unajua kila kitu.
Kwanza mimi sijaumbwa ni wewe unafosi na kulazimisha mawazo yako uchwara kwamba nimeumbwa.Hivyo ulivyo ndivyo imetakiwa kuwa hivyo ungeumbwa tofauti na hivyo usingeona maana ya maisha kwa sababu hicho unachokifikilia tayari kipo Mungu ameumba Malaika wao wako hivyo unavyotaka wao muda wote wako limited tofauti na wewe unafanya unachotaka Alafu akakupa Akili ikuongoze sasa hicho ndo kitu wewe umekikosa.
Hizi ni hekaya za vitabuni tu zisizo na uthibitisho wowote ule.Hata Wana wa Israel walimwambia Musa wanataka wamuone Mungu,Mwishowe , wenyewe walimwambia Musa chochote utachoambiwa huko tutakufanyia kazi! Kambi ya jeshi tuu unaogopa.
Hakuna Mungu anaye nifanya nipumue.Yaani huko kupumua tuu ni Mungu
Hakuna Mungu anayefanya mvua inyeshe.anakupa maana,huwanyeshea mvua wazuri na wabaya,Huyo Mungu!