Salamu kwa Askofu Gwajima

Umeelewa hoja yangu?
 
Hv kama rais ameshajua hatakiwi na anaowaongoza kwann tu asiseme jmn nchi yenu hii hapa muwekeni mnayemtaka πŸ€”πŸ€”

Kipi n kigumu
Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.
 
Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .
Gwajima mjinga tu
Kwani wanasiasa wa vyeo vya juu sio wanajeshi? Tena wengine makomandoo wamehudhuria mafunzo makali kuliko JWTZ nje ya nchi

Alitaka wote awaone kwenye payroll ya JWTZ? Na wana vyeo vya JWTZ na magwanda ya JWTZ?Mpumbavu mkubwa

Tanzania kuna JWTZ majeshi mawili linaloonekana na lisiloonekana

Kwa ajili ya checks and balance .JWTZ linaloonekana likileta za kuleta wasiojulikana wanaingia kazini.kuwadhibiti kama wameshindwa kuhakikisha nchi inakuwa na amani
 
Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.
Sanduku la kura la nchi ipi mkuu πŸ€”πŸ€”...hilihili lilonajisiwaaπŸ€”
 
Wewe akili huna kama hilo tusi ulilotoa. Uko na mental illness.πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio mkuu na nipo hospital, vipi unataka kuja kunijulia hali?

Eti mama wa Afrika, Labda Afrika ya ya SinzaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .

Rais ni Mwanasiasa, na Kwa sababu hiyo huyu atakuja na sera za Kulinda Nchi , kesho mwingine anakuja kubinafsisha na kuuza Rasilimali za Nchi
Na cha kufurahisha zaidi, Askari wote HUPOKEA AMRI YA UZALENDO KUTOKA KWA AMIRI JESHI MKUU TU ambaye ni RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!
 
Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .

Rais ni Mwanasiasa, na Kwa sababu hiyo huyu atakuja na sera za Kulinda Nchi , kesho mwingine anakuja kubinafsisha na kuuza Rasilimali za Nchi
Sio kweli; Rais ndiyo ana codes hatari zaidi - mfano tungekuwa na mabomu ya Nuclear Rais ndiyo ana code ya mwisho...

Tusisidanganyane kisa aliyepo hawampendi au haumpendi. Rais ndiye raia namba moja na ndiye mzalendo namba moja.
 
Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.
Polepole ametufumbua macho wana sisim. Amesema, walipitishwa kihuni. Hao waliopitishwa kihuni amewashauri kwamba waone aibu na tayari wamezingatia hilo, wameona aibu.
 
Sio kweli; Rais ndiyo ana codes hatari zaidi - mfano tungekuwa na mabomu ya Nuclear Rais ndiyo ana code ya mwisho...

Tusisidanganyane kisa aliyepo hawampendi au haumpendi. Rais ndiye raia namba moja na ndiye mzalendo namba moja.
Mkuu achana na wajinga hao ambao hata mgambo hawajawahi pita lakini wanajifanya wajuzi mambo ya jeshi
 
Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.

Nani alimteua, form alichukua wapi na kikao Gani kilimjadili, hayo ni maneno ya polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…