Salamu kutoka kwa mmiliki wa ESCROW

Salamu kutoka kwa mmiliki wa ESCROW

Mazoko

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2009
Posts
674
Reaction score
187
Habari
 

Attachments

  • 1419612811871.jpg
    1419612811871.jpg
    37.8 KB · Views: 651
Hakika nidhamu haiuzwi.
Jk inahusu nn?
Chuki iso sababu kwa rais ni ujinga.
Je, kama angekuwa babiyo ungemtukana?
 
Sijukua kumbe huyu mheshimiwa ni mwanachama hai wa CCM.
 
Sitaki kuamini kama huyu jamaa ni mpana hadi ndani ya chama
 
Pesa ni kitu kibaya na inanguvu hata ya kutinganisha ndugu wa baba mmoja sembuse huyo wa kutinganisha viongozi wa inchi hii na wakimchekea sana basi mwisho ni kuipasua inchi hii vipande viwili ndo hapo itakuwa Tha END
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom