Salamu Gani Hii Kwa JK

Ni njia mojawapo ya kumhakii mtu kama analindwa na Sheikh Yahaya
 
CCM ni noma kwa walichomfanyia Mzee wa Kiraracha, ndo maana havui Bargashia aliyo pewa Zenj enzi hizooo, la sivyo tungeshamsahau!
 
Maisha hayo baba, anatafuta mkate wake wa siku ndiyo maana ananyenyekea hivyo. Yeye ni CCM C, baada ya CUF kuwa CCM B
 
Huyu ndiye angekuwa raisi sasa ungekataa kumsujudi ingekula kwako na si hasara kukupoteza wangu!
 
Huyu ndiye angekuwa raisi sasa ungekataa kumsujudi ingekula kwako na si hasara kukupoteza wangu!

Mwalimu aliona mbali. Apumzike tu kwa amani ingawa alikuwa anahitajika sana mwaka 2005. Tusingekuwa na JK aliyetuletea akina RA, EL na mafisadi wengine. Kwa mara ya kwanza kundi dogo tu la watu wenye pesa chafu wakaununua URAIS.
 
Usimchezee chatu..ooh chatu eehh...gongo usimtupie utaukosa ushindi.....Hapo mhe. Mrema ana bow down kuashiria kuwa sasa basi hataki tena ushindani na dola. Kweli njaa mbaya, ila ninamuonea huruma Mhe. Mrema kwa hali yake ya kiafya.
 
Kila nikiiangalia picha hii kwa kiongozi wa upinzani kumsalimia JK kwa ishara hii nashindwa kupata picha halisi!
mrema.jpg

imekaa kinafiki kimbea na kishida ni swaga la msaada
 
...mmmhh, kama salam ya ki-freemason?? angalia dole gumba la mrema lilimvyomminya mkwere plus mkono wa pili wa mrema ulivyomshika mkwere!! ni observation yangu tu!!
 
Alikuwa anamwambia mimi sio mdini ona barangashia yangu nipe niundie kawizara kangu nile kidogo
 
Back
Top Bottom