Salamanda Style!

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Natafuta kinyozi wa kuninyoa hii style. Najua wacheza kabumbu wataniiga sana watakaponiona siku ya ufunguzi wa ligi. Nishaurini niende salon gani?

MJUSI STYLE.jpg
 
Salon za kunyoa hiyo MINYOO ziko Dodoma tu! Pembezoni na Mirembe hosp.

Hebu na wewe nisaidie hii, kama unajua Kiswahili..........

Ikiwa hii 11,000 = elfu kumi na moja.
Jee, hii ngapi 10,001
Nisaidie mtu wangu.
 

Hebu na wewe nisaidie hii, kama unajua Kiswahili..........

Ikiwa hii 11,000 = elfu kumi na moja.
Jee, hii ngapi 10,001
Nisaidie mtu wangu.

11,000 ni kumi na moja elfu
10,001 ni elfu kumi na moja!

Duh, nitawanyanyasaje ufisini. Thanks ASA
 
Jikongoje uende sinza kijiweni karibu na sinza deluxe mkono wa left utafanywa kama utakavyo.
 
Back
Top Bottom