Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Mara nyingi ktk mitandao ya kijamii hujadili ndoa kama mahusiano ya kimapenzi/kingono hutizama zaidi panapo matamanio ya miili yao, mara nyungi isivyo bahati wanaojadili sana na kwa wingi ni wale ambao hawapo ktk ndoa. Ndoa ni Maisha sio siasa.We jamaa umetisha! Ndoa ni kitu kingine, honey na sweetie hupungua kadiri ya muda unavokwenda. Kadri mnavojaaliwa watoto na mali mambo hubadilika pia. Si rahisi sana mtu kuisemea ndoa kama hujatimiza miaka 5 ndani ya ndoa. Siri ya kufa aijuaye maiti.