Blandes JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 406 Reaction score 236 Oct 21, 2016 #1 Salama ulikuwa na kipindi chako cha mkasi kila jumatatu kikiwa kinapendwa na kila rika ila ghafla kimya,tunaomba urudishe mkasi tena tunakosa uhondo
Salama ulikuwa na kipindi chako cha mkasi kila jumatatu kikiwa kinapendwa na kila rika ila ghafla kimya,tunaomba urudishe mkasi tena tunakosa uhondo