Naomba niongeze...Salama ni mbunifu na ni mtangazaji mzuri,mimi na mnanisha na ellen wakule marekani,ila hawa ma bwana wawili,kwa kweli ni mizigo,wana point saa nyengine na saa nyengine wanautumbo mwingi..bila mfano,kwa sababu najua watamazaji wana lijua,sina bifu na mtu wala wivu,ila jamaa wamekaa kima igigo sanaaa.
Nilicheka sana siku Salama anamuhoji Lulu, na baada ya kum-tight kwa maswali ya ujeuri, Lulu akaanza ku-panic; hapo hapo Salama akampa za chembe "hoyaa, we vipi; unataka kunivalia kanga!"Tatizo hawajui kiundani kuhusu wasanii husika wanaowahoji, salama anajua sana akimhoji lulu lazima suala la kuhongwa lihusishwe coz ni vitu vinavoshabiana na lulu, akimhoji ally rehmtullah lazima agusie ushoga, ni mtu ambaye ana upeo mkubwa wa kufikiri kwa umakini , wale jamaa wanaweza kuropoka tu na kubahatisha
Halafu nashindwa kuelewa sijui kwa nini salama uwa hamualik lady jaydee, au pengine lady jaydee hukataa kuhojiwa na kipindi hicho, naona salama kamaliza mastaa wrote mpaka muda mwingine anakosa kabisa watu wa kueleweka kwenye mkasi hadi wanatuletea wakina muhogo mchungu
Kwa hiyo Muhongo mchungu hafaii????
Hivi ni kitu gani pale ambacho ni very unique cha kuona Salama ameiga kila ki2 kutoka MTV? Ile show kufanyia Salon au maswali? By the way, hivi kuna mtu aliye interested na kile kipindi kutokana na mandhari ya wapi kinafanyika badala ya maswali? Na kama maswali, mbona maswali staili ile Salama hajaanza kwenye kipindi cha Mkasi? Ilikuwa vipi kwenye Planet Bongo?Kuna kipindi fulani kinaitwa the shop kule mtv,salama na timu yake wameiga almost kila kitu sasa sijui kwanini watu wanadhani yeye ndio kabuni..labda kikubwa kule wanatumia ung'eg'e na huku kiswazi...
Sorce:go to youtube/the shop mtv