Freema Agyeman JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 3,666 Reaction score 3,533 Mar 3, 2011 #1 mabibi na mabwana. Pamoja kwa maslahi ya Taifa.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 3, 2011 #2 Karibu sana mkuu jamvini!!
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Mar 4, 2011 #3 karib sana. ilikuwa tukukaribishe kwa mziki lakini bahati mbaya redio letu limemaliza betri
Freema Agyeman JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 3,666 Reaction score 3,533 Mar 4, 2011 Thread starter #4 Ahsanteni sana. Naelewa kuwa Ngeleja analala mno, labda alipata mashambulizi toka kwa mbung'o hivyo suala la umeme ni 'inshu' na kutumia betri kupiga muziki si busara kiuchumi, ukizingatia kuwa nauli ya daladala imepanda.
Ahsanteni sana. Naelewa kuwa Ngeleja analala mno, labda alipata mashambulizi toka kwa mbung'o hivyo suala la umeme ni 'inshu' na kutumia betri kupiga muziki si busara kiuchumi, ukizingatia kuwa nauli ya daladala imepanda.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,432 Mar 4, 2011 #5 unakaBirishwa
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Mar 4, 2011 #6 Karibu sanaaa
Mwenzetu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 550 Reaction score 195 Mar 4, 2011 #7 Freema Agyeman said: mabibi na mabwana. Pamoja kwa maslahi ya Taifa. Click to expand... karibu Freema Agyeman, karibu sana michango yako ya hali na mali pia kwa maslahi ya taifa
Freema Agyeman said: mabibi na mabwana. Pamoja kwa maslahi ya Taifa. Click to expand... karibu Freema Agyeman, karibu sana michango yako ya hali na mali pia kwa maslahi ya taifa
Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Mar 4, 2011 #8 Karibu sana.
R Renald Member Joined Mar 1, 2011 Posts 27 Reaction score 0 Mar 8, 2011 #11 karibu ili tujadili maswala ya kujenga taifa letu
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Mar 11, 2011 #12 karibu jamvini