Salam zenu Dada zangu!

Salam zenu Dada zangu!

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Posts
7,705
Reaction score
1,288
Sadaka huanza nyumbani nami naanza humu kunyumba JF!
Dada zangu nina salamu kutoka kwa jamaa kutoka Amerika ya kusini. Msishangae! Nilikuwa Balozi wenu wa kutangaza sifa njema moja ya wanadada wa Bongo. Jamaa alishangaa sana kuwa duniani kuna wanadada wenye sifa kama hiyo. Namna alivyovutiwa aliniahidi atakapotaka kuowa basi atawasiliana nami ili aje apate dada yangu mmoja.

Naamini mtaniunga mkono kuwa kweli sifa hiyo dada zangu wanayo!
 
Sikuitaja sifa hiyo kwa kutaka sifa mbele ya jamaa lakini niliitaja kwa kuwa naamini dada zangu wanayo sifa hiyo.
 
Mmmh... Ngoja nikae kimya kidogo... Naweza kuopoa kaka wa kutoka America hivi hivi..!
 
Na wao wana sifa za kuwa na dada zako?
 
sifa gani hiyo sii uitaje

Huyo jamaa ni mtundu sana! Aliniuliza kipindi cha miezi sita nikiwa masomoni (tulikuwa pamoja nje) mke wangu anapata wapi chukuchuku? Aguwa nilimwambia nini.
 
mmmmh, angalia wasiwe mabasi ya kusafirisha unga wa udaga, sauzi amerika? pablo escobar atawahusu bure.
 
Back
Top Bottom