Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Baada ya salamu nina ujumbe kwenu: Stand down. Makuwadi na vikaragosi vyenu viambieni virudi nyuma. Miti mingine haikwewi na milima mingine inatosha kuiangalia kwa mbali tu. Mlifanyalo lifanyeni haraka kwani kiza kimeingia.
NB: Salam kwa RO... if you act now you (kwa kumhamisha kuwadi wao) you might change my mind (probably others too) but if you don't nitaamini umesanction the stealth move.
Otherwise; 2010 ni mwisho wao. So like that stupid commercial here in the US "do you want it to hurt now or later".. ?
Vitoto vya Nzi navyo havilali!
MzeeMwankijji,
ungekuwa una mjua Vizuri RO basi hata usingemuomba akusaide kitu..
Nina story juu yake hata kabla hajawa mkuu na sasa nimeanza kuogopa ,niemshajua ni kwanini Mamvi alimpendekeza ..kazi mnayo..mie nimehsachoka
Ufisadi hauwezi kuisha kabisa na kamwe kama nchi ikiwa chini ya watu waina ya RO ..
Mkulu behu niweke wazi kweli hilo maana kuhusu APSON kila mtu anajua alivyo haribu kwa kuweka TISS kuwa kama chaka la ma incopetents lakini hili la R.O sijakuelewa hebu niweke wazi mkulu
GT,
Nikiweka hapa nitapotezwa maisha yangu ..coz ni mmoja wa wachache tunaozijua...ila muda ukifika nitaiweka wazi..ila jameni ..nchi yetu Tanzania..duh..ebana eeh..noma aisee..najuta ni bora Obama angekuwa Rais Wangu..
sasa hivi mkurugenzi wa TISS ni RO sasa kama hawezi kusafisha madudu ya CAM basi ndio tuna tatizo. Maana sheria ya TISS inampa mkurugenzi nguvu za kutosha tu. Ama sivyo?
Tanzania hakuna kiongozi mwenye nguvu. Labda akiagizwa na wale wataalamu wa kutoa nyonyo! Nitabaki kuwa Thomaso🙄
Kwani Obama naye ni CHAGUO LA MUNGU?
una maana ya "wakwe" zetu.
GT,
Nikiweka hapa nitapotezwa maisha yangu ..coz ni mmoja wa wachache tunaozijua...ila muda ukifika nitaiweka wazi..ila jameni ..nchi yetu Tanzania..duh..ebana eeh..noma aisee..najuta ni bora Obama angekuwa Rais Wangu..
Kwa mila zetu, wangekuwa "wakwe" basi wangetuheshimu. Hawa nadhani ni "mashemeji kula".
Inaelekea baada ya kugundua kuna incompetent na yeye ametumia mwanya huo kuongeza wa kwake. Kwanini kilichobadilika sasa ni nini? Dini au aina ya utendaji? Mbona Richmond, Dowans hazikuwa za Apson? Au hilo sio tatizo. Anashindwa nini kusafisha hiyo system kama kuna wasiofaa? RAi...nguvu ya hojaMkulu behu niweke wazi kweli hilo maana kuhusu APSON kila mtu anajua alivyo haribu kwa kuweka TISS kuwa kama chaka la ma incopetents lakini hili la R.O sijakuelewa hebu niweke wazi mkulu