salaam zenu toka kwa arsen wenger

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,401
nilikutana na mzee wetu wenger kitaa flani akila raha... anasema tusiwe na wasiwasi atasajili world class player wa 4


268101_251194928230328_153992474617241_1231565_5469713_n.jpg
attachment.php
 
Raha asile ujanani aje kula uzeeni,na wenzake (mababu) wanafanya usajili mapema ye anakula bata,sisi tunataka kombe hata lambuzi,mzee kavu nini?
 
Raha asile ujanani aje kula uzeeni,na wenzake (mababu) wanafanya usajili mapemaaa ye anakula bata,sisi tunataka kombe hata lambuzi,mzee kavu nini?
 
Back
Top Bottom