Salaam za Xmas

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,896
36,213
Habari za mida hii wanajamii wenzangu.....
Kwa unyenyekevu mkubwa kabisa na kwa heshima ya hali ya juu najitokeza mbele yenu kutoa au kuwatakia x mass njema ,yenye furaha na amani....tele......
 
Za kwangu ziwaendeee mkuu jje's dada mtumishi Heaven Sent ....

Mummy Kasinde
Shemdarling atoto everlenk daaaah za mwisho kidogo mito Kaboom

Dada jirani Evelyn Salt

Nawatakia sikukuu njemaaaaa.....

Asante sana Shem wangu kwa kunikumbuka , vivyo hivyo salaam zangu za Christmass na mwaka mpya zije kwako shem wangu sumbai na mkewe mpendwa cute b atoto na ex wake Eli79 my dada Heaven Sent na mumewe Paulo Sergio De Souz

Shem letu la ukweee ibra89 Honey Faith Asprin Kaizer na #MMUwote na #sportsfanswote
Wote nawatakia heri ya Christmass na mwaka mpya.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom