Wanabodi,
Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2026 uliojaa kheri na fanaka tele.
Ni hayo tu, tuendelee kumuombea Dua Rais wetu dhidi ya maadui zake waliojaa hila katika Taifa letu