Salaam kwa wanajamii forum

JOSHUA NG'OMBE

New Member
Jan 14, 2012
1
0
Naomba kutumia fursa hii kuwasalimu Wanajamii forum.
Msiba wa ndugu yetu, jembe letu, hakika umeacha pengo kubwa sana na utendaji wake hodali utakubukwa daima. Kwa kuwa Mungu amempumzisha, nina imani Mungu huyo huyo atatupatia `Jembe` mbadala atakaye endeleza juhudi na harakati kama za dada yetu Mpendwa Regia. `May the Lord God rest her Soul in Peace, Amen`. I beg to submit.
 
Nami pia niungane na waombolezaji wenzangu kumuomba Mora kumpunzisha marehemu (Regia) katika pumziko bora la milele dada na jembe letu. Nasikitika kwamba sikuweza kutoa rambirambi zangu awali kutokana na kuwa nje ya huduma ya internet ila tumuombee dada yetu aliyetutangulia akae salama huko, lakini pia tukumbuke kuwa nasi si muda mrefu tutaungana naye. Amina
 
Naomba kutumia fursa hii kuwasalimu Wanajamii forum.
Msiba wa ndugu yetu, jembe letu, hakika umeacha pengo kubwa sana na utendaji wake hodali utakubukwa daima. Kwa kuwa Mungu amempumzisha, nina imani Mungu huyo huyo atatupatia `Jembe` mbadala atakaye endeleza juhudi na harakati kama za dada yetu Mpendwa Regia. `May the Lord God rest her Soul in Peace, Amen`. I beg to submit.
Wote tuna majonzi.Mungu atawatia nguvu wote.RIP Regia.
 
Back
Top Bottom