Salaam Kwa Mbunge Msigwa

Salaam Kwa Mbunge Msigwa

Hoja nikuwa wapiga kura wanasemaje maana ndio wenye maamuzi nasio makelele yenu .
 
mbona msigwa anatuwakilisha vyema bungeni? Masuala ya ujangili, na masuala yanahusu utalii ametetea sana, afu leo umlete mtu ambae mara ya mwisho kuonekana akihutubia wananch ni 2010, hatutamuelewa. Msigwa ndo kila kitu
 
Hizo ni salamu kwa au Rambi rambi kwa msigwa? Nadhani wewe siasa ya iringa huijui vema ...nenda vijiwe vya kihesa, mtwivila, mwang'ing'o, gangilonga, wilolesi, lugalo, posta, miyomboni, makorongoni, stendi, kitanzini, mshindo, kwakilosa, mwangata, mlandege, nduli, ipogoro "ipp", kitwiru, kibwabwa, igumbilo, hoho, makanyagio, mkwawa, ilala, nyumba tatu, itamba, mawele wele, zizi la ng'o,be, kitasengwa, igwachanya, frelimo, saba saba, mwembetogwa, na maeneo mengineyo kafany tathmini ya hali ya kisiasa . Pia ongea na mamambega pale gangilonga n.b:mme wake asikuone kwani ni mtata sana kwa wanaomjua yule dingi, etc.

Daa Aisee Mkuu Lile Lizee Noma Umenikumbusha Kipindi Cha Uchaguzi.
NO CORRUPTION NO CCM
 
bura yangu sibadili na rehani
 
chadema 2015 wakirudisha wabunge bungeni hawatazidi 5 tu

Asiporudi hata mmoja wewe unanufaika nini? Soko gani unahemea wewe wasikoenda kuhemea CHADEMA? Tujaribu kuwa watanzania! Tunajitoa fahamu kwa njaa ya siku moja! Kulikoni?
 
Back
Top Bottom