chadema 2015 wakirudisha wabunge bungeni hawatazidi 5 tu
Nimefanya Kaudadisi mkoani Iringa na Kugundua kwamba wana CCM wamejipanga kwa kina na vina kumuondoa Mchungaji Msigwa, bahati mbaya hakuna aliyeniambia ni kwa nini zaidi ya kusema ni sababu za kisiasa na lazima ang'oke
Kundi lingine lilisikika likimtaja Mwakalebela na wengine wamesema hajajulikana bado ila chama Tawala kikifanya makosa tena na kuweka mwanamke itakula kwao

Hizo ni salamu kwa au Rambi rambi kwa msigwa? Nadhani wewe siasa ya iringa huijui vema ...nenda vijiwe vya kihesa, mtwivila, mwang'ing'o, gangilonga, wilolesi, lugalo, posta, miyomboni, makorongoni, stendi, kitanzini, mshindo, kwakilosa, mwangata, mlandege, nduli, ipogoro "ipp", kitwiru, kibwabwa, igumbilo, hoho, makanyagio, mkwawa, ilala, nyumba tatu, itamba, mawele wele, zizi la ng'o,be, kitasengwa, igwachanya, frelimo, saba saba, mwembetogwa, na maeneo mengineyo kafany tathmini ya hali ya kisiasa . Pia ongea na mamambega pale gangilonga n.b:mme wake asikuone kwani ni mtata sana kwa wanaomjua yule dingi, etc.
bado tunamhitaji msigwa pale bungeni. ugomvi wangu naye ni kuingizwa kwenye ugomvi na mbowe kumhujumu zitto. basi, the rest bado anafanya kazi nzuri pale mjengoni. watanzania amkeni tunahitaji nusu kwa nusu pale mjengoni. na hiyo ndo silaha yetu pekee iliyobaki. tukicheka tutavuna mabuwa.
Kuna jamaa anaitwa Criss Lukosi inasemekana nae anahitaji jimbo. Ni vyema akaja hapa kutueleza nia yake.
chadema 2015 wakirudisha wabunge bungeni hawatazidi 5 tu
Khaa!! Wenzako hawalijui hilo. Akili zao ndefu kama mkia wa mbuzi :cool2: Tusubiri 2015
hii ni kweli kwani ndicho walichoniambia
Mbona povu linakutoka....usipanic
Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki
ACT ni nyumba ndogo ya CCM!
Khaa!! hahaha kama mlivyoisema CUF mnayounda naya UKAWA sasa hivi :cool2:Hahahaha ni mchepuko wa ccm
Kuna jamaa anaitwa Criss Lukosi inasemekana nae anahitaji jimbo. Ni vyema akaja hapa kutueleza nia yake.
Chris Lukosi yako wapi yale Magari ya taka uliyowaahidi wana Iringa? Wewe ndio mtu pekee CCM inakutegemea kumtoa Msigwa Iringa. Go go goooo Chris Lukosi
Post kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo
Na bado mwakani watapiga tena kura za chuki. Maana kuna jamaa anaitwa Hassan Mkwawa nae analinyemelea Jimbo, lazima atasuguana tu na Mwakalebela!Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki