Salaam Kwa Mbunge Msigwa

Salaam Kwa Mbunge Msigwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Nimefanya Kaudadisi mkoani Iringa na Kugundua kwamba wana CCM wamejipanga kwa kina na vina kumuondoa Mchungaji Msigwa, bahati mbaya hakuna aliyeniambia ni kwa nini zaidi ya kusema ni sababu za kisiasa na lazima ang'oke

Kundi lingine lilisikika likimtaja Mwakalebela na wengine wamesema hajajulikana bado ila chama Tawala kikifanya makosa tena na kuweka mwanamke itakula kwao.
 
AbdulKatembo Kindovu ana hofu gani mbona kila siku anavuna tu tembo wa kutosha.
 
Wananchi wa iringa wawe makini mwakani, ccm itatumia kila mbinu ili kupata jimbo, ni vizuri wananchi wakajitambua!
 
Nimefanya Kaudadisi mkoani Iringa na Kugundua kwamba wana CCM wamejipanga kwa kina na vina kumuondoa Mchungaji Msigwa, bahati mbaya hakuna aliyeniambia ni kwa nini zaidi ya kusema ni sababu za kisiasa na lazima ang'oke

Kundi lingine lilisikika likimtaja Mwakalebela na wengine wamesema hajajulikana bado ila chama Tawala kikifanya makosa tena na kuweka mwanamke itakula kwao

Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki
 
Post kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo
 
Mbona povu linakutoka....usipanic
 
Hiyo itatokea tu pale vijana wengi mtakapo acha kupiga kura. Daftari la mpiga kura likianza kutembea tuhimizane wote wenye sifa, ile ndio silaha ya uhakika ya kuwashinda wote wenye hila chafu.
 
Post kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo

mwakalebela hana jipya mkuu,amejitangaza kupitia kugawa vijezi na vimpira tu zaid ya hapo hana sera.
Kingne wanasahau kuwa msigwa hajaanza siasa 2010 alishawahi kugombea ubunge kabla ya hapo,huyu anayafahamu vema mazngira ya kisiasa nje ndani pale iringa
mwache mwakalebela atazeeka na kwa kusubiria amshinde msigwa arud tu Tff akaombe hata uafsa habari,ila bahat mbaya kule wamejazana kna shomile
 
Last edited by a moderator:
Unajuwa msigwa alipita kwa sababu ya ccm yenyewe?
Walipomuondowa mwakalebela watu wakagawanyika na kupiga kura za chuki
Khaa!! Wenzako hawalijui hilo. Akili zao ndefu kama mkia wa mbuzi :cool2: Tusubiri 2015
 
namuombea DUA
mwakalebela hana jipya mkuu,amejitangaza kupitia kugawa vijezi na vimpira tu zaid ya hapo hana sera.
Kingne wanasahau kuwa msigwa hajaanza siasa 2010 alishawahi kugombea ubunge kabla ya hapo,huyu anayafahamu vema mazngira ya kisiasa nje ndani pale iringa
mwache mwakalebela atazeeka na kwa kusubiria amshinde msigwa arud tu Tff akaombe hata uafsa habari,ila bahat mbaya kule wamejazana kna shomile
 
Post kuhusu msigwa kwa mwaka huu Zaidi ya mara ishirini kuhusu kun'goka hii inaonyesha ccm akili yenu ilivyo ndgo mna serikali mnakusanya kodi lakini suala msigwalinawanyima usingizi.huyo mwakalebela ndio nani kwenye ccm?? Walikuepo akina Anna kilango,kangi lugola,luaga mpina,ole sendeka na kessy pAmoja kelele zao zote wamebadili nini ndani ya ccm ??wako kimya kama Maji ya kwenye dimbwi.huyo mwakalebela Wako mwenye mashavu kama embe dodo ndiyo atafanya nini kwenye ccm.wewe ni punguani na bahasha zenu za kaki hizo
Zitto anaijua shughuli ya Msigwa. Acha Msigwa awe na maadui wengi JF
 
Back
Top Bottom