Ni ukweli uliodhahiri kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana kuipa CCM changamoto za kufanya maendeleo nchini,japokuwa kuna malalamiko ya hapa na pale kuhusu mfumo wa siasa za CHADEMA lakini ukweli utabaki kuwa hiki chama kinadhihirisha mfano wa kuitwa chama pinzani.