Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,946
- 55,960
Dah! pole sana mkuu, kesho panapo majaaliwa aamka asubuhi ufanye mazoezi ya kukukimbia asubuhi na jioni nina imani utapata afueni kwa nguvu za mola.
Ugua pole
Habarini za mapumziko ya mwisho wa wiki, kama tittle ilivyo ni kuwa nina mafua makali tokea jana asubuhi. Nimeshatumia dawa lakini sina ahueni, ila naamini maombi yenu pamoja na ya kwangu yatanirudisha kwenye hali yangu ya kawaida. Asanteni nawatakieni mapumziko mema.
Mkuu pole ila kapime na ngoma.Mafua ya namna gani hadi uombewe?
Pole sana.
pole mkuu nenda hospitalini ukapimwe
Mhhhh..
kwanini usiwahi hospitali?
Pole sana...
Pole...Umetumia dawa?
Mkuu pole,kunywa maji mengi sana,na mazoezi,halafu kula machungwa utaniambia pua lazima ziachie tu.mi niko na shemejio nakula bata mpaka kuku wanaona wivu,kanichosha kweli.nataka nitafute cha tatu sasa.