Sala ya Moshi na vibwagizo vya viunga vyake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya Moshi na vibwagizo vya viunga vyake

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lekanjobe Kubinika, Feb 12, 2012.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Source Yahoofriends

  Mie sijui kama umeiona hiyo samahani. Endelea
  Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko  [TABLE="class: yiv270316604MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD][TABLE="class: yiv270316604MsoNormalTable, width: 9"]
  [TR]
  [TD]


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Viitikio:  1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO)


  2. Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU)


  3. Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)


  4. Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti! (MWIKA)


  5. Kristu Imarisha Leo Elimu na Mapesa Akauntini! (KILEMA)


  6. Kristu Imarisha Riziki Ujaze Akaunti! (KIRUA)


  7. Usitunyime Riziki Uchumi! (URU)


  8. Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza! (KIBOSHO)


  9. Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni Endelevu!(MACHAME)(By the way, Wamachame si wavivu!!)


  NA


  10. Kwetu Ikikosekana SHIlingi MUngu Nakuapia Dunia Utaichukia! (KISHIMUNDU)
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umechelewa kuipata na kuileta,

  Tunaita "ngera"
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu, ya kawaida hayo. Ndio ubinadamu.
   
 4. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Uwe na Bidii kama vile utaishi milele, uwe mwaminifu kama vile utakufa kesho"

   
 5. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Uwe na Bidii kama vile utaishi milele, uwe mwaminifu kama vile utakufa kesho"

   
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Duh. Hii nayo kali aisee.
   
Loading...