Sala kabla ya tendo la ndoa...


Asa wewe! nimekuelewa ila tule tupichu si wanavaa wanawake? me dume bana!
 
kiwatengu unaonaje utaiweza na ulivyo na haraka
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha chezeiya muhemuko.....
hivi unakuwa unaomba kwa kusema maneno gani eti?
Mimi huwa naomba wakati ule wazungu wanakaribia kushuka, "Ooooh my Goooood thanks for this sweetest Papuchi never seen before. Oooooooh Goood I'm coming"

Hapo Mungu ndiyo anakuwa tayari kunipokea mtoto wake mtiifu kwa kazi nzuri niliyofanya.
 
Mimi huwa naomba wakati ule wazungu wanakaribia kushuka, "Ooooh my Goooood thanks for this sweetest Papuchi never seen before. Oooooooh Goood I'm coming"

Hapo Mungu ndiyo anakuwa tayari kunipokea mtoto wake mtiifu kwa kazi nzuri niliyofanya.

Mi nilivomuoga nikisikia hayo maneno nitahisi unataka kudanja ntakimbia......
 
Mi nilivomuoga nikisikia hayo maneno nitahisi unataka kudanja ntakimbia......
Hahahahaaaaaa. Umenikumbusha mbali sana mkuu, kuna siku nilitaka nikimbie nimuache totoz yangu chumbani, baada ya uona kiini cheusi cha macho sikioni. Kumbe yalikuwa manjonjo yake tu wakati anaisikilizia dushelele, nilipotoa tu akaamka spidi na kunizuia lakini mimi dushelele ilikuwa imeshalala doro kwa woga wa mada kesi. Ikabidi tuanze upya.
 
OMG Taz umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaa "Bwana tupe nguvu ya kutovuta picha za wake za watu wakati umebariki kua na wake zetu wa ndoa"
 
Niliwah kuandikaga hii kitu hapa mwaka jana ngoja niutafute ule uzi. nakumbuka mwanagu Ronn M aliweka maneno mazuri pale ya sala.

ukweli ni kwamba its good to pray before and after doing anything.
 
Last edited by a moderator:
huwa napenda sana post zako ccta.
Leo umenichekesha had nimelia .
Napiga picha cjui ndo sahan zinakuwa mezan na chakula kishafunuliwa, mmm hiz sara zinakuwa za kimwil na si kiroho.
Thanx SNOWHITE you made my day

enjoy mwaya !
yani hiyo picha usiipige kabisa dadako ntakavokuwa natafuta maombi wakati huo huo na dekoda ndo inasoma FULL SIGNAL!ah huyu Himidini bana anataka kunambiaje sijui!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…