Sakata la Yericko Nyerere,DPP afanye "Prosecution" sio "Persecution"

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
16,203
27,348
Kila mtu kashangazwa na Yericko kukamatwa,kudhaminiwa mahakamani na kisha kukamatwa tena kwa kosa la mwaka juzi

Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na abuse of legal process,nadhani kilichofanyika ni zaidi ya nia ya kupata haki,bali kutumia mfumo wa haki kwa ajenda iliyofichika

We need prosecution,not persecution
 
Haki Aitafute Mahakamani na Sio Hapa JF - Why Yeye Tu Ndio Akamatwe na Sio Wewe au Mimi? JIULIZE NA UTAFAKARI - UKIJIFANYA MJUAJI BASI SHERIA INAJUA ZAIDI YAKO
 
Ni masuala ya zamu tu! Ukiona kibanzi jichoni mwa mwenzako ukacheka inawezekana boriti linakunyemelea mkuu!
Msisitizo: Huu ni mtego wa panya...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Me nawaambia kila siku tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Haki Aitafute Mahakamani na Sio Hapa JF - Why Yeye Tu Ndio Akamatwe na Sio Wewe au Mimi? JIULIZE NA UTAFAKARI - UKIJIFANYA MJUAJI BASI SHERIA INAJUA ZAIDI YAKO
Mkuu unatumia sigara kali?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom