Sakata la Yericko Nyerere,DPP afanye "Prosecution" sio "Persecution"

Sakata la Yericko Nyerere,DPP afanye "Prosecution" sio "Persecution"

Haki Aitafute Mahakamani na Sio Hapa JF - Why Yeye Tu Ndio Akamatwe na Sio Wewe au Mimi? JIULIZE NA UTAFAKARI - UKIJIFANYA MJUAJI BASI SHERIA INAJUA ZAIDI YAKO
Kwa sababu wewe ni mzee wa YES sir... kama umesoma alicho andika ungeona kwamba tunako elekea sio sawa ...
 
Ahsante mkuu.... hajui maana ya tofauti ya mawazo...
Sijui chemistry aliisomaje pamoja na sayansi,manake sayansi imejengwa kwa misingi ya kukosoa,kurekebisha,inaanza theory moja,inaaminika,baadae inapingwa na theory nyingine,matunda yake ni sayansi tuliyo nayo karne ya 21,sasa wale wanasayansi wa zamani wangechukia kukosolewa tungefika hapa tulipo?
 
Kwa sababu wewe ni mzee wa YES sir... kama umesoma alicho andika ungeona kwamba tunako elekea sio sawa ...
Tunakoelea Siko Kivipi? Kutokana na Makosa ya Kiumbe Mmoja Ambaye Anatumia Mitandao Vibaya? Msiwe Mnapenda Kugeuzwa Matatizo Binafsi Kuwa Matatizo ya Taifa. WRONG
 
Nina mashaka kama uko timamu.
Siko Timamu Kwa Kuwa Nimesema Kile Usichotaka Kukisikia... Why Kila Mara Akamatwe Yeye Tu Kwa Kutumia Mitandao Vibaya??? JIULIZE: Wapo Watanzania Zaidi ya Milioni 20 Wanaotumia Facebook na Twiter, Mbona Hawakamatwi??? Unakamatwa Ukivunja Sheria na Ndio Maana Tunasema Huyo Yeriko Ajitazame Mwenendo Wake La Sivyo Misifa Itamponza. Mwenye Sikio na ASIKIE
 
Tunakoelea Siko Kivipi? Kutokana na Makosa ya Kiumbe Mmoja Ambaye Anatumia Mitandao Vibaya? Msiwe Mnapenda Kugeuzwa Matatizo Binafsi Kuwa Matatizo ya Taifa. WRONG
We hujitambui..... kwani Tunisia walijichoma moto wangapi kabla ya vurugu na mapinduzi yaliyo fuata.... na kusababisha arab spring. ....
 
Haki Aitafute Mahakamani na Sio Hapa JF - Why Yeye Tu Ndio Akamatwe na Sio Wewe au Mimi? JIULIZE NA UTAFAKARI - UKIJIFANYA MJUAJI BASI SHERIA INAJUA ZAIDI YAKO

Cha kushangaza, huk mahakamani wanashinda kesi na wanaachiwa!

Kaka ...
 
Kila mtu kashangazwa na Yericko kukamatwa,kudhaminiwa mahakamani na kisha kukamatwa tena kwa kosa la mwaka juzi

Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na abuse of legal process,nadhani kilichofanyika ni zaidi ya nia ya kupata haki,bali kutumia mfumo wa haki kwa ajenda iliyofichika

We need prosecution,not persecution
Mlipomtuma alete chokochoko na dola hamkujua atatiwa mbaroni ?!
 
Siko Timamu Kwa Kuwa Nimesema Kile Usichotaka Kukisikia... Why Kila Mara Akamatwe Yeye Tu Kwa Kutumia Mitandao Vibaya??? JIULIZE: Wapo Watanzania Zaidi ya Milioni 20 Wanaotumia Facebook na Twiter, Mbona Hawakamatwi??? Unakamatwa Ukivunja Sheria na Ndio Maana Tunasema Huyo Yeriko Ajitazame Mwenendo Wake La Sivyo Misifa Itamponza. Mwenye Sikio na ASIKIE

Na pia tujiulize ... why wakifikishwa mahakamani, mahakama zinawaachia kwa kutokuwa na hatia???

Kaka ...
 
Na pia tujiulize ... why wakifikishwa mahakamani, mahakama zinawaachia kwa kutokuwa na hatia???

Kaka ...
HILO SWALI MUULIZE HAKIMU - KUACHIWA HAINA MAANA KUWA HUKUFANYA KOSA BALI INAWEZA KUWA MATATIZO YA USHAHIDI (MWANASHERIA ATANIELEWA)
 
Sasa wewe utakamatwaje wakati hata hujulikani ni nani zaidi ya hilo jina lako la bandia unalotumia? Yeriko kakamatwa kwa kuwa anajulikana kidhahiri na kihalisia!
Nadhani Allen hujamwelewa huyu. Ana maanisha hata kama hujulikani basi embu fanya matendo yanayokiuka sheria uonekama hujakamatwa. Sheria haichagui uwe unajulikana au hujulikani. Majina bandia ya JF yote yana watu halisi na wanajulikana wako wapi kila mmoja. Usidhani hawajulikani. Kwa hiyo kamanda utetezi wako hauna mashiko
 
TUNISIA SIO TANZANIA: USIFANANISHE CHUNGWA NA NANASI - ANZISHA VURUGU UONE
Ha haaa....... rudi kwenye ulicho andika kwanza. ... hapa umetoka nje ya hoja yako ya kwanza.... ila cha kujifunza ni kwamba, hakuna utawala wa milele... kuna kizaz cha watz kitaona anguko la ccm kwa uonevu huu...
 
Kumbe makosa ya mwaka juzi ndio maana wengi tumeshangaa huyu Yericko amekuwa very moderate kwenye post zake siku za karibuni unabaki unajiuliza kafanya nini tena.

Lakini hawa jamaa wanapenda kunyanyasa wananchi; hao CCM wenyewe anawafuata mpaka Lumumba kuwapa zawadi ya kitabu chake na wanacheka nae. This is just waste of tax payers money.
 
Haki Aitafute Mahakamani na Sio Hapa JF - Why Yeye Tu Ndio Akamatwe na Sio Wewe au Mimi? JIULIZE NA UTAFAKARI - UKIJIFANYA MJUAJI BASI SHERIA INAJUA ZAIDI YAKO
....Sawa, je vipi kuhusu matumizi mabaya ya sheria? Halafu huwezi kulazimisha watu wote wafanane na wewe.
 
Back
Top Bottom