Sakata la uteuzi wa majaji Z'bar-mtihani wa kwanza kwa Dr. Shein | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la uteuzi wa majaji Z'bar-mtihani wa kwanza kwa Dr. Shein

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-bongotz, Dec 3, 2010.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,734
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Rais wa Zanzibar Dr. Mohamed Shein amekumbana na mtihani wa kwanza kwenye uongozi wake pale uteuzi wa majaji watatu kati ya wanne wa mahakama kuu ya zanzibar ulipopingwa na chama cha mawakili Zanzibar kwa sababu ya udhaifu wa utendaji kazi wao, Chama hicho kimehoji pia uhalali wa jaji mkuu wa zanzibar kuendelea kuwepo madarakani wakati umri wake wa kustaafu kwa mujibu wa sheria ulishafika.

  Jisomee mwenyewe waraka ulioambatanishwa hapa ikiwa ni barua rasmi kwenda kwa Rais Shein.
   

  Attached Files:

Loading...