Sakata la Uhamiaji

Sakata la Uhamiaji

Ramos Jr

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
44
Reaction score
10
Ningekuwa mimi ndo MH. MATHIAS CHIKAWE ningefanya jambo moja tu kukata mzizi wa fitina. NINGEFUTA WOTE WALIOSHINDA AWALI KWA MAANA 1-70 THEN NKAITA WATU KUANZIA 71-140 KUJA KAZINI, Napita.
 
Kuna la kufanya zaidi ya hilo lakini ni nani mwenye uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo?
 
Ningekuwa mimi ndo MH. MATHIAS CHIKAWE ningefanya jambo moja tu kukata mzizi wa fitina. NINGEFUTA WOTE WALIOSHINDA AWALI KWA MAANA 1-70 THEN NKAITA WATU KUANZIA 71-140 KUJA KAZINI, Napita.

Ajiuzuru Kazi imemshinda tayari..awaachie wengine
 
Hamna wa kujiudhulu mwenyeww hapa bongo,mbona mizigo na kupiwa kote kelele bado wanangangania.

Hakuna kiongozi mwenye utashi ambaye anaweza kujiuzuru kwa swala hilo ila inatakiwa Mwakyembe wampe. wizara hiyo ili aisafishe
 
Back
Top Bottom