Sakata la TBS na Ekelege

Sakata la TBS na Ekelege

kwanza ningependa kukushukuru ndugu yangu kwa kuweka maslahi ya nchi yako mbele kwa kuakikisha unafualtilia nini kinachoendelea ndani ya system hii kwani asilimia angalau kumi ya watanzania wangefanya kama unavyofanya wewe nchi hii ingekuwa mbali sana ushauri wangu ni kwanini usimtumie hizi info. mnyika au mdee ili amuulize waziri bungeni ?? au unaweza kumpelekea kupitia ukurasa wake wa facebook au blog yake. Once again thank you for your patriotism.

Asante ndugu yangu, wote tunapaswa kuidaidia nchi hii maana waliopewa madaraka wamejisahau sana na tunakamuliwa kodi zetu na wengine wanadhulumu haki ya watz wengine, si haki.
 
Vp chenge na hela za radar!ni nani wa kumfunga paka kengele wakati wote ni walewale?

Inasikitisha lkn kila anayeona uovu anapaswa kuukemea/kuusemea ipo siku historia itaandikwa. Vinginevyo tutaendelea kufanywa wapumbavu na watu wachache
 
Serikali legelege,
haimuwezi Ekelege,
watazidi kutufanya mabwege,

Kikwete legelege, Serikali legelege,
Ekelege legelege,TBS legelege,
Kigoda legelege,Wizara legelege,
Tanzania legelege,Watanzania legelege!

Utenzi poa kabisa.
 
Kikwete legelege, Serikali legelege,
Ekelege legelege,TBS legelege,
Kigoda legelege,Wizara legelege,
Tanzania legelege,Watanzania legelege!

Utenzi poa kabisa.

Mkuu,nikumbushe hii kitu inaitwa nini vile?
...........................
.....
.......
...
Ohh Mizani!
 
Kikwete legelege, Serikali legelege,
Ekelege legelege,TBS legelege,
Kigoda legelege,Wizara legelege,
Tanzania legelege,Watanzania legelege!

Utenzi poa kabisa.

Wewe Makoye2009 weweeeee!
 
Tusubiri matokeo ya uchunguzi.

Mkuu kama mambo yenyewe ndio hayo, wachunguzi watakua wanapoteza muda WAO - yaani unaweza kufikili huko ndotoni na sio TANZANIA! Lakini mbona Serikali yetu imemfikisha kizimbani Mhe. Iddi SIMBA? Inaingia akilini kwamba Serikali inamuogopa EKEREGE kweli? Mimi siamini.
 
Back
Top Bottom