Sakata la Rambirambi Arusha: Lema aibuka na tuhuma mpya

MACCM ni majizi makubwa sana. Pesa zilizotolewa ni 215 milioni, Wana familia 32 kila familia imepata 3.85 milioni nyingine nyingi haya majizi yametia ndani. Yarudishe pesa za rambi rambi haraka sana haya majizi.

Mkuu kuna nyepesi kuwa sio wote wamepata hizo 3.85, Pesa waliyopewa ni 2.855 milion. Kuna uongo mwingi sana juu ya uongo uliotangazwa na mkuu wa mkoa.
 
Reactions: BAK
Shukrani Mkuu kwa ufafanuzi.

Mkuu kuna nyepesi kuwa sio wote wamepata hizo 3.85, Pesa waliyopewa ni 2.855 milion. Kuna uongo mwingi sana juu ya uongo uliotangazwa na mkuu wa mkoa.
 
Yani Wizi ndani ya ccm ni kama kansa.
 
Humo kwenye pesa ya rambirambi lazma kodi ikatwe chezea ccm.
 
Majungus of course
 
Sasa hapo tujiulize MPIGA DILI NI NANI!? Kati ya "kijani na njano" na "wavaa magwanda"
 
Kwa mwanaharakati Mange Kimambi? Aisee
 
Serikali ya Awamu ya Tano kwa nini inakuwa na tuhuma za wizi wa Rambirambi za misiba ya wananchi.

Serikali hii haina mfuko wa dharura/maafa ila inategemee michango ya wananchi masikini waliojinyima na kutoa kwa moyo kusaidia maskini wenzao.

Hii ni serikali iliyofirisika kifedha, kimtazamo na kifikra. JPM na wapumbavu wanamsapoti lazima watambue kuongoza nchi si kukariri mita za ujenzi wa barabara tu na vifungu vya kanuni.

Nadhani imefika sehemu imetosha sasa kulalamika kwenye mitandao na kuandamana ndani ya miyoyo yetu. Hii ni nchi yetu sote na kama utapenda kila mtu achukue maamuzi kwa nafsi yake sasa.

Imetosha
 
Kumbuka tuliambiwa serikali ndio ingegharamia yale mazishi sasa waulize wametoa kiasi gani hapo wao kama serikali.
 
Kweli nchi imefilisika rasmi. Kama fedha za maafa nazo ni chanzo cha mapato hii ni moja ya maajabu ya dunia
 
Ndiyo maana alinyimwa nafasi kwani walijua ataanza kujinadi badala ya msiba sasa kaibuka kivingine.
 
Tukisema wabunge wa Chadema wanafanya siasa za matukio,manyumbu hayasikii,sasa manyumbu yamekuwa yakimwamini mwehu Kimange,kweli Chadema kwishney
Huyo Mange anatumiwa taarifa na watanzania walioko sehemu nyeti na usidhani anatunga tu.

Kwa taarifa yako tu.Taarifa zingine tunazozisoma huko tunaamua tu kukaa kimya na wala hatuzileti hapa maana ni tuhuma nzito sana.

Kwa mfano hata sasa hivi ingia kwenye hiyo account yake uone uone tuhuma moja kubwa tu na mpya alietumiwa na mtu kuhusiana na ununuzi wa hizi ndege ila tumesoma na kuamua kuziacha tuhuma hizo huko huko wala hatujazileta hapa.
 
Kutafuna Rambirambi ni kujitafutuia umauti.

Gambo watch it.
 
Kumbuka tuliambiwa serikali ndio ingegharamia yale mazishi sasa waulize wametoa kiasi gani hapo wao kama serikali.
labda wametoa mil 100 (40 cash na 60 huduma za mazishi)!
hivi wewe umechangia kiasi gani?
nani anayewafahamu wachangiaji?
acheni kuongezea msiba kwa wafiwa, mnapowapa taarifa zisizo na uhakika mnawaongezea uchungu bila ya sababu, simply kwa kutaka cheap popularity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…