SAKATA LA RAIS WA FIFA,C.RONADO na REAL MADRID.

SAKATA LA RAIS WA FIFA,C.RONADO na REAL MADRID.

Mwaka 2010 tuzo zilichakachuliwa mno, Sneidjer alipaswa kuwa mchezaji bora kwa sababu alichukua vikombe vitatu na Inter, na kuifikisha fainali uholanzi.

Kwenye UCL barca iliishia robo fainali ingawa ilibebwa mno kwenye mechi ya marudiano, baada ya biscut kufanya simulation na kusababisha thiago motta kupewa kadi nyekundi kipindi cha kwanza. Inter hawakuwa na shot on target hata moja, walikuwa na shot on wide moja lakini hawakuweza kupita

Kwenye WC argentina waliishia robo fainali baada ya kufungwa 4-0 na germany LM hakuweza kuisaidia timu yake.

kwa upande wa sneidjer aliisaidia timu yake kuchukua kombe la UCL na kufikisha fainali ya WC ambapo uholanzi waliifunga brasil, katika mechi ya fainali alitoa though ball mara mbili kwa robben kubaki one on one na casillas ingawa alishindwa kuconvert.

Mwaka 2011 argentina iliandaa copa america na wakatoka raundi ya kwanza still LM alichaguliwa kuwa mchezaji bora

Mwaka 2012 Iniesta alipaswa kuchaguliwa kwani aliisaidia espana kushinda euro championship, lakini vituko vingi vilitokea. Timu ya mwaka ilikuwa ni kituko, walichaguliwa wachezaji kumi wa la liga na wayne rooney. Finalists wa UCL b.munich na chelski hawakutoa hata mchezaji mmoja. Baadaye baadhi ya Manahodha wa timu walilalamikia uchakachuaji wa kura zao, kama nahodha wa Sweden, Italy na wales.

Jambo moja ni kwamba kumekuwa na ushirikiano mkubwa sana kati ya Fifa na Adidas katika kutengeneza vifaa vya michezo kwa ajili ya mashindano ya fifa(WC) hasa mipira ya kuchezea. Sasa ugomvi wa Adidas na Nike umekuwa mkubwa hivyo si ajabu kuona athletes walioko nike (Sneidjer, CR7) wanakuwa snubbed na Hormone Midget wa Adidas anapewa uchezaji bora kila mwaka.
 
Yaani kiufupi ni kwamba blatter keshaharibu mchakato wa kumpata mcezaji bora kwa mwaka huu.
 
Mkuu suarez wa ajax alifunga magoli mengi kuliko LM, suarez alifunga 49 goals in 48 games for club. Hoja ya magoli ni dhaifu, kwani Luca toni alifungia magoli mengi lakini Canavaro(defender wa Italy) alichaguliwa kuwa mchezaji bora 2006. Shevchenko, Raul, Henry na Van Nisterlooy hawajawahi kuchaguliwa kuwa fifa best players ingawa walikuwa wanafunga magoli mengi.

uko sawa ila umesahau kitu kimoja, kuna kufunga na kufunga kupitiliza, ndo exceptional inayomuweka messi tofauti na wengine.... hao walikuwa wafungaji lakini huyu messi wa sasa ni habari nyingine.... huyu nkavunja karibia kila record unayoijua kwenye soccer, kila mwaka ni mtu wa ku re write guiness and other world books...! They handed the trophy to the best and succesful player rather than only the most successful player.
 
Sioni jambo baya ambalo Blatter kaliongea, kama sikosei ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni Wayne Rooney alisema Ronaldo anatumia Lisaa limoja na Nusu kupamba nywele zake kabla ya mechi. Kutokana na kauli hiyo hatukuona Kauli yoyote kali ktk kwa Ronaldo wala kwa Madrid. Mimi ijapokuwa naishabikia Barcelona ila Ronaldo, Khedira na Pepe huwa siwapingi ila tangu Ronaldo aongeze mkataba wa miaka 5 Madrid nimemuona ni mjinga sana, kwa sababu
1. Anajionesha yupo kimaslahi zaidi ktk soka lake.
2. Bado anaamini anaweza akamfunika L. Messi akiwa Hispania jambo ambalo haliwezi hata tukiongeza miakd 10 mbele.
Kama kweli angetaka acheze mpira na awe anavutia watu na kutengeneza jina lake basi angerudi England.

Nakuunga mkono mkuu..blatter kaongea ukweli na sio uongo sema tu kwa sababu ni raisi wa fifa maneno yake yata affect kwa kiasi kikubwa mbio za mchezaji bora mwaka huu.
 
uko sawa ila umesahau kitu kimoja, kuna kufunga na kufunga kupitiliza, ndo exceptional inayomuweka messi tofauti na wengine.... hao walikuwa wafungaji lakini huyu messi wa sasa ni habari nyingine.... huyu nkavunja karibia kila record unayoijua kwenye soccer, kila mwaka ni mtu wa ku re write guiness and other world books...! They handed the trophy to the best and succesful player rather than only the most successful player.

Punguza pumba Messi has never won WC while kina Iniesta wamechukua
 
Punguza pumba Messi has never won WC while kina Iniesta wamechukua

pumba zako hizo usiyeelewa,, proof read and understand the point,, kuna sehem nimetaja w.cup? rudi kwenye post yangu soma hii sentence "huyu kavunja karibia kila record unayoijua kwenye soccer""" kijana kuwa makini unaposoma post za watu,,,, umeelewa hapo kwenye red..
 
sure, umeonaee, i guess so, ila kuna watu wanajitoa akili watakataa hili... ndo maana ronaldo alikuwa very reactive kwa kauli ya blatter,, but blatter was right but on the wrong place....

Akiacha mpira wa kuuza sura na tamaa pesa atafanya vyema ktk medani ya soka.
 
Nakuunga mkono mkuu..blatter kaongea ukweli na sio uongo sema tu kwa sababu ni raisi wa fifa maneno yake yata affect kwa kiasi kikubwa mbio za mchezaji bora mwaka huu.

acha wapinge ila Ronaldo amsubiri amsubiri Messi afe ili apate ahueni.
 
pumba zako hizo usiyeelewa,, proof read and understand the point,, kuna sehem nimetaja w.cup? rudi kwenye post yangu soma hii sentence "huyu kavunja karibia kila record unayoijua kwenye soccer""" kijana kuwa makini unaposoma post za watu,,,, umeelewa hapo kwenye red..
One of the biggest achievement for football player is to win World Cup most of the greatest players from Pele,Maradona,Zidane,Henry,Iniesta,Xavi,Casilas,Pirlo,Kaka,Ronaldinho,Ronaldo,Rivaldo won World Cup
 
naona sasa umeelewa mara hii umekuwa mjanja (One of the biggest achievement),, mind you messi still has much time to play,perhaps more yrs, world cup is not a guarantee and it real doesnt mean that w.cup winners are all great players, wapo wachezaji kibao wameshika hilo kombe nikimaanisha first eleven zote zilizowahi kuchukua w.cup... yet they cant and they did not even achieve a half way to what messi has done... kucheza na kukimbiza ulaya ambapo kila mchezaji mzuri na mabeki wako pale, sehem ambapo futbal technique zimekuwa zikiongezeka na mahela juu kila msimu ni kipimo tosha kwamba this young man is great for his generation and perhaps one the greatest of all time.

ukiingia ESPN PLAYER PROFILE , MESSI WANAMSEMA HIVI "Lionel Messi is the heir apparent to the throne left vacant by Diego Armando Maradona. The waters are divided between those who consider him to be far from being the best No. 10, and those who believe that Messi will be even better than Maradona."

WIKIPEDIA WAO WAMEMUANDIKA HIVI "
Widely recognised as the best player in the world and rated by some commentators, coaches and players as the greatest footballer of all time"

kwa iyo unhisi hizi MEDIA HAWANA AKILI?hawaangalii mpira, wameandika hivo bila kificho na wanajua kwamba kuna mashabiki wa mpira wengi duniani na wadau wakubwa wa soka...
 
Maneno 12 ya mwisho hapo juu yanaonyesha jinsi ulivyo mnazi, kiasi hadi unashindwa kusoma na kuelewa!!

WIKIPEDIA WAO WAMEMUANDIKA HIVI "
Widely recognised as the best player in the world and rated by some commentators, coaches and players as the greatest footballer of all time"

"...rated by some commentators, coaches and players...." Hao 'some' hawawezi kuwa ndiyo authority ya kumfanya Nessi aonekane mchezaji wa kipekee.

kwa iyo unhisi hizi MEDIA HAWANA AKILI?hawaangalii mpira, wameandika hivo bila kificho na wanajua kwamba kuna mashabiki wa mpira wengi duniani na wadau wakubwa wa soka...

Kwa hiyo ESPN na Wikipedia ndiyo wenye authority ya kuzungumzia mchezaji bora?!? Hufahamu ESPN na Wikipedia kuna watu tu kama wewe ndiyo wanatoa mawazo hayo unayoyaona ni ya mwisho kabisa?!?

Ni jambo lisilopingika Joseph kalikoroga kwa kuropoka kwake. Kauli hiyo itambackfire endapo Nessi atapewa tuzo tena mwaka huu!!

Nessi alistahili tuzo ya mwaka 2009 tu. Lakini zilizofuata, ashukuru mbeleko ya Joseph na crooks wa FIFA.

Mwaka 2009, kweli Nessi alikuwa mchezaji bora sana; akiisaidia Barca kushinda vikombe vya kutosha.

Mwaka 2010, Nessi alibebwa mazima. Sneijder alistahili kuliko mwingine. Hata Forlan alikuwa bora zaidi ya Nessi msimu huo. Diego alikuwa mfungaji bora wa WC na Europa Cup, huku akiisaidia A. Madrid kushinda Europa Cup na akiisaidia Uruguay kufika nusu fainali ya WC

Mwaka 2011, Cristiano alistahili kuliko mwingine. Kwani alikuwa mfungaji bora wa La Liga na Ulaya. Aliisaidia Real kushinda ubingwa wa La Liga huku Nessi akiambulia vumbi tu.

Mwaka 2012, Iniesta ama Xavi walistahili kuliko mwingine. Waliisaidia Hispania kushinda European championship, waliisaidia Barca kushinda La Liga na UCL ya 2011/12. Lakini eti kwa kuwa Nessi alivyunja rekodi ya ufungaji wa magoli, akapewa tuzo!

Yaani inaonekana Joseph na wahuni wenzake pale Geneva, uwa wanabadili vigezo ili vikidhi namna Nessi alivyocheza msimu husika.

Ila ukweli utabaki Cristiano ni moto wa kuotea mbali. Ni mchezaji aliye kamili kwa nafasi yake ya uwanjani. Atakupiga chenga; atakufunga kwa guu la kulia ama kushoto; atakufunga kwa kichwa; atakufunga kwa freekick ya mita 30+; atakaba na kuokoa hatari golini mwake; atatoa pasi za ushindi kwa wachezaji wenzake n.k.
 
Back
Top Bottom