Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 268
haa haa achana na media, bad or good news for them is a big investment,, nakupa mfano riberry alivoshinda mchezaji bora wa ulaya kura zilipigwa dk chache kabla ya matokeo kutangazwa na voters wote walipewa ki gadget flan ambacho mda ulipofika wakaambiwa wa vote, ni electronically na kila mmoja alikuwa na cha kwake akabonyeza kumpigia kura anayemkubali... baadae kidogo matokeo yakawa revealed pale pale ukumbini.. kwa hiyo ukinambia issue za corruption hamna kitu hapo ni news mbofu mbofu.. SS3 na ESPN walilusha live kijana tafuta waloangalia wakwambie
Wewe inaonekana huelewi unachokiongea. With same gadgets matokeo mbalimbali yamekuwa yakibakwa. Gadget sijui tablet ni programmed thing, user ndio anaamua output yake iweje. Tumeshuhudia mwaka 2000 with same tech issues uraisi wa marekani ulichakachuliwa, mwaka huu tumeshuhudia kenya matokeo yakichakachuliwa na matokeo yake wakarudia kuhesabu kwa mkono manualy. Hiyo taarifa ya fifa kuiba matokeo ilikuwa wazi na fifa hawakuikanusha hiyo taarifa na kashfa kubwa kama hiyo. So ulichokiongea hakina mantiki.