kwa hiyo messi alikuwa anauchukua mpira kwa kipa .anatambaa nao mpaka goli la wapinzani kwa magoli yote 35.we ruka ruka ila fifa kuna shida.jambo lenye haki halinaga mushkeli mkuu.blatter kanya
duuuuh!! u quoted me wrong, blatter kweli kakosea kusema public, na ndo maana nikasema hiyo tuzo haipewi tim nzima, anapewa mtu mmoja ambaye ni zaidi ya wenzake.. kila mtu anamtegemea mwenzake uwanjani lakini kuna watu muhimu kweye timu, cr7 kwa madrid, messi kwa barca, rooney kwa man u , ibrah kwa psg n.k.... mind you messi asipocheza barca nakuwa kama aseno, kufunga ni issue, kwa hiyo mbali na timu nzima kutegemeana lakini lazima kuna mtu atakuwa tofauti..