Sakata la Ndege: Uchambuzi na maswali ya Zitto juu ya Ripoti Maalumu ya Gazeti la Jamuhuri

Tatizo siyo kuuziwa ndege mpya kabisa bali ndenge mpya iliyokataliwa na mashirika yote makubwa ya ndege. Wengine wanakimbia serial hiyo ya ndege sisi tunajipeleka kichwakichwa. Kama kweli imepunguzwa bei, hujiulizi ni kwa nini ?
Na Kama inapunguzwa bei mpaka kufikia $150m iweje na kwa hesabu Zipi $67m iwe ni 30% ya $150m!!?
 
Sina hakika kama umemsoma na kuelewa mantiki ya andiko na hoja ya Zito Kabwe....

Hebu tulia na soma tena na utagundua kuwa wala Zito hukubaliani na uchambuzi wa gazeti la Jamhuri bali uchambuzi wao umeongeza maswali na mashaka zaidi ktk mashaka yake ya awali kwa sbb :

Mosi, serikali kupitia bajeti yake ya 2017/2018 na kupitia kwa taarifa rasmi ya waziri mwenye dhamana kwa kamati ya bunge, inasema ndege imenunuliwa kwa $225.7m sawa na zaidi ya Tshs. 450bn contrary na taarifa za kiuchunguzi za gazeti ambalo linasema ndege imenunuliwa kwa $150m

Mbili, gazeti linasema ndege inayonunuliwa ni mpya lakini taarifa alizonazo mbunge kwa mujibu wa vyanzo kutoka serikalini na wauzaji wenyewe wa ndege hiyo i. e kampuni ya Boeing, zinasema ni ndege zilizokwisha kutengenezwa miaka kumi iliyopita na zipo tu kwa sbb zilikosa soko tokana na kuwa ktk génération ya terrible teens !!

Ndiyo sasa, watu tunataka hizi contradicting informations ziwe cleared out ili tusimame kwenye ukweli mmoja !!!
Mosi, Zitto hajazungumzia aina ya ndege kwenye post sababu uongo na upotoshaji wake ulishabumbulika, na hutamsikia tena akizungumzia "terrible teen", kama ilivyokuwa kwenye Bombadier akipotosha kuwa ndege ni mitumba, ila ndege zilizokuja ni mpya, awe muungwana akiri upotoshaji wake kwanza.

Pili,kutokana na maelezo ya post yake mwenyewe Zitto anatambua bei serikali iliyosema ni 224$, na anakubali kabisa yeye mwenyewe hiyo ndio bei halisi ya soko, sasa anachohangaika ni nini, kwamba gazeti X likinukuu vibaya taarifa fulani ni kosa la serikali, yeye ana taarifa rasmi kwa sababu ipo kwenye hansadi bungeni, ana uwezo wa kulitaarifu gazeti X na likarekebisha, hizo drama zote ni za nini, ni binti tu aliyetoka balehe ndio ana drama nyingi namna hii.
 
Na Kama inapunguzwa bei mpaka kufikia $150m iweje na kwa hesabu Zipi $67m iwe ni 30% ya $150m!!?
Mara zooote nasemaga Jepes(Z) anahtaj kumaintain Kick,, $150/2=$75 na $75/2=$37.5 pia 30pc ya $150 ni $37.5, je Jepes si ndio Alsomea Mahesabu na alpitiaga kakamati ka Mahesabu!?? Kwann HAFIKIRII BEFORE POST!!!?
 
Uyo si ndio CAG kakieleza chama chake kina makandoka kando? Angaenza kwake kwanza
 
Mosi, Zitto hajazungumzia aina ya ndege kwenye post sababu uongo na upotoshaji wake ulishabumbulika, na hutamsikia tena akizungumzia "terrible teen", kama ilivyokuwa kwenye Bombadier akipotosha kuwa ndege ni mitumba, ila ndege zilizokuja ni mpya, awe muungwana akiri upotoshaji wake kwanza.

Pili,kutokana na maelezo ya post yake mwenyewe Zitto anatambua bei serikali iliyosema ni 224$, na anakubali kabisa yeye mwenyewe hiyo ndio bei halisi ya soko, sasa anachohangaika ni nini, kwamba gazeti X likinukuu vibaya taarifa fulani ni kosa la serikali, yeye ana taarifa rasmi kwa sababu ipo kwenye hansadi bungeni, ana uwezo wa kulitaarifu gazeti X na likarekebisha, hizo drama zote ni za nini, ni binti tu aliyetoka balehe ndio ana drama nyingi namna hii.

Mtanzania1989,

Mosi, huu ni mjadala wa kawaida sana lakini muhimu na wenye tija kwa nchi yetu pamoja na kujenga awareness kwa umma kutambua namna tunavyotumia raslimali zetu kidogo tulizonazo. Kwani ni kosa gani Zito katenda hata unathubutu kumdhihaki kiasi hicho ?

Mbili, si jukumu la Zitto kuwaambia gazeti la Jamhuri kuwa walichoandika si sahihi bali ni jukumu la serikali. Na ikumbukwe kuwa habari iliyotolewa na gazeti ni ya kiuchunguzi (investigative) na ni ukweli usiopingika kuwa wana vyanzo vyao vya habari na kabla hawajaitoa ni lazima walijiridhisha kuwa tunachokiachia kwa umma ni ukweli usio na shaka. Ni jukumu la serikali na mnunuzi yaani (Procurement Officer, ndugu John Pombe Magufuli) kutoka huko alipo na ku - clear out hizi taarifa mtanziko na kama gazeti limeandika uongo, hatua zichukuliwe.....

Habari za Bombardier tena ? Kwani Zito alishakuambia kuwa ameshafuta kauli yake ya kwamba, hizo ni mitumba ? Unajua nini ndugu yangu ? Uongo siku zote huteleza tu kusambaa lakini ukweli mara zote hukwea ngazi !!

Kuthibitisha hili, rejea sakata la ununuzi wa radar toka Uingereza miaka ile. Watu walipiga kelele sana lakini "sirikali" chini ya chama hikihiki iliziba masikio ktk ufisadi ule lakini baada ya takribani miaka 10 ukweli ulikuja kudhihirika, yaani Benjamin Mkapa hakuuona ukweli lakini baadaye chini uongozi wa Kikwete ukweli ukakwea ngazi na ku - reach the top kila mtu akauona !!

Sasa unashangaa Bombardier za miezi sita iliyopita ? Itajulikana tu hata kama wanaoficha watakuwa wameingia kwenye makaburi yao chini ya ardhi, watakuja kufukuliwa tu.....

Na nikueleze kitu kimoja rafiki yangu, kwamba, hakuna wakati mwingine ambapo wizi na ufisadi unafanyika kwa kiwango cha kutisha kama chini ya utawala wa serikali hii ya awamu ya tano chini ya Bwana John Magufuli kwa jina la "hakuna siasa hadi 2020" ama kwa jina la "hapa kazi tu" ama kwa jina la "tunahakiki hili ama kile i. e hewa, feki nk !!! "

Kama unabisha uwe hai mpaka hawa watakapoondoka madarakani waje viongozi watenda haki wa kweli na kufukua uchafu huu unaozikwa leo !!
 
Kuhoji si kosa ila unafiki hatuwezi kuuvumilia, angekuwa muungwana na ana nia tu ya kupata taarifa kwanza angekiri upotoshaji ambao ameshaufanya, amepotosha sana kuhusu "terrible teen", baada ya kuumbuka na kubumbulika upotoshaji wake amehamia kwenye bei sasa.

Zitto hana hoja, magazetu mengi tu ya Tz yanakosea kunukuu katika miradi mingi, ila haiwi nongwa, kwa nini kwa hili anataka gazeti likosee kunukuu halafu eti serikali itoe mkataba wa kibiashara, kwa makosa tu ya gazeti kunukuu. Taarifa ya serikali ipo wazi, Prof Mbarawa alishajibu haya maswali bungeni, Zitto ana uwezo tu kuwapelekea hiyo taarifa gazeti husika na wakarekebisha makosa yao, kwa nini sasa anataka kuleta drama za ajabu ajabu hapa.

Kama Jamhuri limemunanga ndio anataka kuliharibia jina, basi asiingize serikali katika vita vyake na Jamhuri. Yeye na unafiki wake amepewa makavu na Jamhuri, akae atulie au apigane vita bila kuiingiza serikali katika ujinga wake.
 
Manyerere amepanic
 
Wewe umeona mkanganyiko gani hapo zaidi ya unaa tu ?
Zitto mwenyewe amekiri hapo kuwa serikali ilishasema bei 224$, na yeye mwenyewe amekiri hiyo ndio bei ya soko, anachotaka sasa ni nini ? Ndio maana mnaitwa nyumbuzz sababu mnapenda kushadadia upotoshaji wa maksudi ili mradi tu fulani kasema.

Naona kila post unalazimisha Zito mwenyewe kasema bei ni $224, sasa huyo huyo anataka maelezo ya kina kuna shida gani mtu akijiridhisha zaidi? Wewe unapoteza nini kama mbunge anataka kujiridhisha zaidi kama anaona kuna jambo halijakaa sawa?
 
Zitto unachanganyikiwa wewe, wewe mwenyewe unakiri kuwa serikali imeshasema gharama ni US $ 224, na wewe mwenyewe unakiri hiyo ndio bei ya soko kutoka katika kwa Boeing kabisa, halafu unachukua tu habari ya gazeti unaenda tena kuwauliza serikali, unataka jibu gani wewe binadamu, unafiki haukufikishi mbali.
Ukifuatilia anachoandika na kusema Zitto, wewe ndiye unaonekana umechanganyikiwa!
 
A new goal post. Sasa sio terrible teen Zitto kaja na bei.

Nope. Hoja ya Zitto ni kwamba serikali imeuziwa terrible teen kwa bei ya ndege mpya (USD 224 million). Gazeti la Jamhuri linasema serikali imenunua ndege mpya kwa bei inayofanana na bei ya terrible teen (USD 150 million). Ukweli ni upi? Na kumbuka, yote haya yanasababishwa na tabia mbaya ya kuficha mikataba katika manunuzi ya umma - umma unapaswa kujua. Kwani huo mkataba ukiwekwa kwenye website ya serikali au wizara au ATCL kuna shida gani? Na kumbuka, bila Zitto et al, kuhoji, hili lingepita unquestioned kwa kuwa baadhi yetu tumejenga tabia mbaya ya kuamini kuwa watawala ni malaika. Tusingepata fursa ya ku-debate na kuujua ukweli. So, hata kama hoja ya Zitto si sahihi, bado ni hoja muhimu kwa kuwa inatoa fursa kwa wananchi kujua utendaji wa serikali na matumizi ya kodi zao. Which reminds me of Ai Weiwei poignant piece on the New York Times. Read it here: https://www.nytimes.com/2017/05/06/opinion/sunday/ai-weiwei-how-censorship-works.html?_r=0 . Warning: this is a well thought philosophical piece, so it is deep unlike partisan writings you are probably used to. It is a case for freedom of speech and against censorship - censorship you are craving for, for you are annoyed by those who ask questions.
 
Juu ya Sakata la Ndege, Serikali Ina Maswali Mengi ya Kujibu

Nimesoma ripoti maalum ya Gazeti wiki la Jamhuri la Leo Jumanne, Mei 9, 2017 yenye kichwa cha habari 'Zitto Anyukwa' inayohusu uchunguzi wa gazeti hilo juu ya ununuzi wa ndege ya Dreamliner kutoka shirika la ndege la Beoing, ununuzi ambao binafsi kwa nafasi yangu ya ubunge unaonipa mamlaka ya kuisimamia serikali, nimeutulia mashaka na kuomba maelezo zaidi ya serikali bungeni juu ya ununuzi huo.

Nawapongeza sana Waandishi na Wahariri wa Gazeti hili Kwa kufanya uchunguzi kuhusu suala la manunuzi ya ndege Hii ya Boeing 787-8 Dreamliner. Magazeti ya habari za uchunguzi ni taasisi imara na muhimu mno katika kujenga utamaduni wa uwazi, uwajibikaji na uadilifu nchini, utamaduni ambao Chama chetu cha ACT Wazalendo kinapigania kuusimika nchini. Gazeti la Jamhuri limethubutu kufanya vile wengine wameshindwa kufanya.

Gazeti la Jamhuri limeibua masuala mawili muhimu sana katika ripoti yao hii maalum, mosi limeeleza kuwa ndege inayonunuliwa ni mpya kabisa, ambayo bei yake kwa mujibu wa taarifa rasmi za Shirika la ndege la Beoing ni Dola za Kimarekani milioni 224.6 (zaidi ya shilingi bilioni 450), pili jamhuri wameeleza kuwa pamoja na kununua ndege mpya kabisa (ambayo bei yake ni zaidi ya shilingi bilioni 450) bado tumeuziwa ndege hiyo 'mpya kabisa' kwa bei ya dola milioni 150 (zaidi ya shilingi bilioni 330).

Baada ya kusoma ripoti husika, nimepata maswali muhimu yafuatayo yanayopaswa kujibiwa na Serikali (na naamini Jamhuri watatusaidia kuyauliza):

1. Jamhuri wanasema bei ya 'ndege mpya' ambayo si 'terrible teen' (zile zenye matatizo ambazo wenzetu duniani wameuziwa kwa bei ya chini), kwa mujibu wa mkataba waliouona Kampuni ya Boeing na Serikali ni dola za Kimarekani milioni 150 (zaidi ya shilingi bilioni 330) na si dola milioni 224.6 (zaidi ya bilioni 450) inayosemwa na Serikali. Bei sahihi ya 'ndege mpya' ni ipi kati ya hizo mbili?

2. Kwa mujibu ya Randama ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika mawasilisho ya Bajeti ya mwaka 2017/18, ambayo iliwasilishwa kama Taarifa ya Waziri wa Wizara husika, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Serikali ilieleza kuwa imeilipa Kampuni ya Beoing kiasi cha dola milioni 67 (zaidi ya shilingi bilioni 134) ambazo ni 30% ya bei ya dola milioni 224.6 ambayo ndiyo bei ya ndege mpya kwa mujibu wa Boeing wenyewe (na kwa mujibu wa Serikali yenyewe Bungeni). Je Serikali mpaka sasa imelipa 30% ya $224.6m ambayo ni $67 (kama ilivyosema yenyewe) au imelipa 30% ya $150m ambayo haiwezi kuwa hiyo $67m.

Binafsi nimeomba Mkataba husika kwa mujibu wa sheria na taratibu za kibunge. Tukipata tutawajulisha. Lengo letu la kuhoji ni kupata ukweli, kujiridhisha na kusimamia matumizi sahihi ya fedha na rasilimali za umma kwa mamlaka tuliyopewa nanyi wananchi.

Hatuna nia mbaya Kabisa na mchakato wa kuboresha Shirika letu la Ndege la Taifa. Uboreshaji huu ulikuwa ni msimamo wa Chama chetu kwenye ilani yetu ya uchaguzi. Tunao wajibu wa kuhakikisha unafanyika kwa usahihi.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Mbunge, Kigoma Mjini - ACT Wazalendo
Mei 9, 2017
Dodoma

Chanzo:Ukurasa wake wa faceboook
Jamhuri wamishawekwa mfukoni na bababashite, wajiharibia reputation
 
Mwisho wa siku mtaletewa tena chuma chakavu halafu kitakabidhiwa jeshi..na mkihoji mtaambiwa mnahoji kuhusu kifaru cha jeshi na kwa kawaida kifari cha jeshi huwa hakihojiwi.
 
Tatizo siyo kuuziwa ndege mpya kabisa bali ndenge mpya iliyokataliwa na mashirika yote makubwa ya ndege. Wengine wanakimbia serial hiyo ya ndege sisi tunajipeleka kichwakichwa. Kama kweli imepunguzwa bei, hujiulizi ni kwa nini ?
Kwa kusoma ktk mtandao wa Boeing niliona wanauza ndege mpya za aina hiyo kuanzia mwezi uliopita na bei yake ni juu ya dollar 300. Sasa kama sisi tunauziwa ya dollar million 224 ambayo ni bei ya ndege hizo kabla hazijaboreshwa basi sisi tunauziwa aina ya kwanza.
 
Zitto ni mhuni, mnafiki na mla rushwa, kelele na unaa wote huu kisa amezibiwa mirija ya rushwa zake. Amehangaika mwezi mzima akipotosha serikali inanunua "terrible teen", sasa kwa ameumbuka anakuja na viroja vingine.

Yeye mwenyewe anakiri serikali ilisema gharama ya hiyo ndege ni 224$, na yeye mwenyewe anakiri bei ya soko ni hiyo hiyo 224$, kwa hiyo Mwananchi waki andika kesho kutwa gharama ni 400$ US, atarudi tena kuuliza serikalini ? Ni wazi gazeti limenukuu vibaya, na yeye tayari ana chanzo cha kuaminika, Zitto anapenda drama kama binti aliyemaliza balehe.
mbona umepanic hivyo?
Muache zitto ahoji gharama za manunuzi haya sio dhambi!
Wewe baki kutoka povu huku jf
 
Kuhoji si kosa ila unafiki hatuwezi kuuvumilia, angekuwa muungwana na ana nia tu ya kupata taarifa kwanza angekiri upotoshaji ambao ameshaufanya, amepotosha sana kuhusu "terrible teen", baada ya kuumbuka na kubumbulika upotoshaji wake amehamia kwenye bei sasa.

Zitto hana hoja, magazetu mengi tu ya Tz yanakosea kunukuu katika miradi mingi, ila haiwi nongwa, kwa nini kwa hili anataka gazeti likosee kunukuu halafu eti serikali itoe mkataba wa kibiashara, kwa makosa tu ya gazeti kunukuu. Taarifa ya serikali ipo wazi, Prof Mbarawa alishajibu haya maswali bungeni, Zitto ana uwezo tu kuwapelekea hiyo taarifa gazeti husika na wakarekebisha makosa yao, kwa nini sasa anataka kuleta drama za ajabu ajabu hapa.

Kama Jamhuri limemunanga ndio anataka kuliharibia jina, basi asiingize serikali katika vita vyake na Jamhuri. Yeye na unafiki wake amepewa makavu na Jamhuri, akae atulie au apigane vita bila kuiingiza serikali katika ujinga wake.
serikali inaingi hapa,serikali inasema bei ni $224m,jamhuri wansema tumeuziwa kwa $150m,yani kwa lugha nyingine serikali inadanganya kutaja bei kubwa wakati imelipa bei ndogo!!!utakuwa na tatizo la akili kutoliona hili!!!au inawezekana serikali imelituma jamhuri kichwakichwa bila kutafakari...rai yangu ni kuwa serikali ilifunhie jamhuri kwa kusema kuna wizi kwenye ununuzi wa ndege.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom