GEOMO
Senior Member
- Jul 11, 2009
- 105
- 21
Na Kama inapunguzwa bei mpaka kufikia $150m iweje na kwa hesabu Zipi $67m iwe ni 30% ya $150m!!?Tatizo siyo kuuziwa ndege mpya kabisa bali ndenge mpya iliyokataliwa na mashirika yote makubwa ya ndege. Wengine wanakimbia serial hiyo ya ndege sisi tunajipeleka kichwakichwa. Kama kweli imepunguzwa bei, hujiulizi ni kwa nini ?