Sakata la mjamzito kufia duka la dawa: Mmiliki wa duka akutwa na vyeti feki

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Sakata la mjazito kudondoka na kufa nje ya duka la dawa limechukua stage mpya baada ya mmiliki wake kukutwa na ndumba na vibuyu na alipoulizwa we ni mganga akasema ajasomea.

Hata hivyo alipopekuliwa zaidi akakutwa na vyeti vya uganga alivyonunua laki moja na kukubali kuwaonyesha aliponunulia.

Mola turehemu aisee. Anaduka la dawa hapohapo ndani anafanya uganga.
 
Du, hii kali! Nilikuwa nikiona kwenye tamthilia za Kinigeria nikajua ni fiction,kumbe ni kweli! Tena hapahapa Tz.
 
Na ukiwaambia hawa wasimamizi wa dawa wanakwambia in huduma muhimu acha watu wauze ili mradi tuwatambue tu.Kuna mhadhiri mmoja anafundisha chuo kimoja cha Dodoma na aliwahi kuwa mfamasia was serikali,anaeneza sana sumu kwa wanafunzi wake kiasi kwamba wakija huku kazini wanaruhusu maduka kufunguliwa kiholela sana kwa kisingizio cha mwalimu wao!Hili linatakiwa kuangaliwa sana
 
Huo sasa umbea sasa wa watz.Duka la dawa au pharmacy kuna taratibu zipo kisheria za kufuata ili lifunguliwe.

Lakini nchi hii kuna baadhi ya Maduka yamefunguliwa kiholela vichochoroni ambako si rahisi wakaguzi kufahamu na ndiyo hao sasa wenye vyetu feki.

Kumbuka watumishi wa afya bado hata hospital ini tu na vituo vya kutoa Huduma ni wachache sasa hao wakaguzi wa nje ndiyo kidogo zaidi.

Serikali za mitaa na vitongoji zina wajibu wa kujua uhalali wa Huduma zinazotolewa ktk maeneo yao na kama wana Mashaka watoe taarifa kwa mamlaka husika inaweza kusaidia.
 
Hiki ni kisingizio.Mabwana afya wanapita kila mtaa nchi hii,wenyeviti wa mitaa wapo kila sehemu nchi hii,wanajua vizuri watu wenye maduka bubu,kwa mini msiwaambie walete taarifa?Tatizo mnalilea na kulipamba matokeo yake watu wanakufa bila sababu ya msingi
 
Hebu kesho tu waombe wakuletee taarifa kama hutazipata.Mimi nilishakutana na muhudumu asiye na elimu kabisa akaniuzia dawa ambazo alinipa maelezo hatari bahati nilikutana na mtaalamu akanishauri tofauti ndio ikawa bahati yangu.Niliripoti kwa wahusika lakini wakarudi na kumwambia yule jamaa eti namfuatilia sana maisha yake.Hii inakatisha tamaa watu wengi kutoa taarifa.Pengine wasimamizi wana maslahi na hawa watu
 
Hiki ni kisingizio.Mabwana afya wanapita kila mtaa nchi hii,wenyeviti wa mitaa wapo kila sehemu nchi hii,wanajua vizuri watu wenye maduka bubu,kwa mini msiwaambie walete taarifa?Tatizo mnalilea na kulipamba matokeo yake watu wanakufa bila sababu ya msingi
Wakaguzi ni wachache sana na hawapiti hizo kona ambako kuna Maduka bubu ndiyo maana natoa wito wenye mamlaka na mtaa kwa maana ya Serikali za mtaa wasaidie hili zoezi kujua uhalali wa Huduma ktk mitaa yao na kama wana mashaka basi watoe taarifa mamlaka husika.

Watumishi wa afya bado wako wachache ktk Fani tofauti ndani ya Waziri ya Afya na Taasisi zake na hata waliochini ya Serikali za Mitaa Idara ya Afya.
 
Back
Top Bottom