SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,766
Fukara babako alitetoa mbegu isiyokidhi viwango hadi kuzaliwa zwazwa wewe.Pambana na ya kwenu!
Fukara nyinyi walahi!

Ni yule mpumbavu wa Arumeru siku sio nyingi ataondoka yeye ,Wameru hawajui vizuri ,kina Kisali wanakata lami na panga kwa hasira zao na misimamoKuna mwingine kawaambie wananchi watafute nchi nyingine waende...kuna vituko sana kwa wateule wa Magufuli.
Bila kusahau "Rais wangu"!"Wananchi wangu", "Mkoa wangu"
View attachment 857507
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally Katika mwendelezo wa mahojiano aliyoyafanya na Raia Mwema, amemnyooshea kidole, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa namna anavyotekeleza majukumu yake ya ukuu wa Mkoa na kudai kuwa kulikuwepo udhaifu katika kushughulikia makontena kutokana na kufanya kazi bila kushirikishana.
Alieleza kuwa, Mkuu wa Mkoa alipaswa kuwashirikisha wenzake tangu hatua za awali, kwa kuwa Serikali ni moja, hakuna cha Waziri wala Mkuu wa Mkoa - wote ni Wateule wa Rais.
Bashiru alimnyooshea kidole Makonda kwa ubinafsi na kukumbushia jinsi ambavyo Mkoa wa Dar es Salaam ni mmojawapo ya Mikoa aliyoitaja hivi karibuni kwa kutotekeleza vyema Ilani ya CCM kutokana kufanya kazi bila ushirikiano.
"Hapa sina maana kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu hapana, ni uongozi mzima chini ya Mkuu wa Mkoa na uongozi mzima chini ya Mwenyekiti wa Chama."
Aliongezea kuwa, "Rais hawezi kwenda kuwafundisha uhusiano mwema, wao wenyewe ndio wanatakiwa kujua kwamba uhusiano mwema kikazi unamjenga zaidi kiongozi yeyote..."
Vilevile, Katibu Mkuu alimuonya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya tabia yake ya kuwaita wakazi wa Dar es Salaam, wananchi (Mkoa) wangu. "Na hii habari ya Dar es Salaam ya Makonda, hakuna Dar es Salaam ya Makonda, ni Dar es Salaam chini ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda."
Bashiru aliongezea kuwa: "Kuna wakati namsikia anasema wananchi wangu, nani kamwambia anao wananchi wake? Hakuna wananchi wako. Hakuna kiongozi anamiliki wananchi, ni wananchi wenzangu."
View attachment 857506
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akihutubia wananchi eneo la Mnazi Mmoja.
Aidha, Dk. Bashiru alikumbushia jinsi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alivyowahi kuonya juu ya ubinafsi: .... mkianza kusema mimi - wewe au wao - sisi, hamfiki.
Hivyo, aliwaasa vijana wanaopewa uongozi wawe wanyenyekevu na kuacha papara kwani watapotea kama ambavyo vijana wengi waliowahi kuwa juu walipotea kwa kukosa unyenyekevu.
View attachment 857504
Mbona hili jipu lilishaiva siku nyingi na halitumbuliwi kama mengine?Kuna sababu gani ya kuendelea kulipapasapapasa ili hali limeshajulikana kuwa nijipu siku nyingi?Mbona yule mzee marehemu sasa Bashite alimchongea kwa baba halafu akatumbuliwa mbele ya kadamnasi?View attachment 857507
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally Katika mwendelezo wa mahojiano aliyoyafanya na Raia Mwema, amemnyooshea kidole, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa namna anavyotekeleza majukumu yake ya ukuu wa Mkoa na kudai kuwa kulikuwepo udhaifu katika kushughulikia makontena kutokana na kufanya kazi bila kushirikishana.
Alieleza kuwa, Mkuu wa Mkoa alipaswa kuwashirikisha wenzake tangu hatua za awali, kwa kuwa Serikali ni moja, hakuna cha Waziri wala Mkuu wa Mkoa - wote ni Wateule wa Rais.
Bashiru alimnyooshea kidole Makonda kwa ubinafsi na kukumbushia jinsi ambavyo Mkoa wa Dar es Salaam ni mmojawapo ya Mikoa aliyoitaja hivi karibuni kwa kutotekeleza vyema Ilani ya CCM kutokana kufanya kazi bila ushirikiano.
"Hapa sina maana kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu hapana, ni uongozi mzima chini ya Mkuu wa Mkoa na uongozi mzima chini ya Mwenyekiti wa Chama."
Aliongezea kuwa, "Rais hawezi kwenda kuwafundisha uhusiano mwema, wao wenyewe ndio wanatakiwa kujua kwamba uhusiano mwema kikazi unamjenga zaidi kiongozi yeyote..."
Vilevile, Katibu Mkuu alimuonya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya tabia yake ya kuwaita wakazi wa Dar es Salaam, wananchi (Mkoa) wangu. "Na hii habari ya Dar es Salaam ya Makonda, hakuna Dar es Salaam ya Makonda, ni Dar es Salaam chini ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda."
Bashiru aliongezea kuwa: "Kuna wakati namsikia anasema wananchi wangu, nani kamwambia anao wananchi wake? Hakuna wananchi wako. Hakuna kiongozi anamiliki wananchi, ni wananchi wenzangu."
View attachment 857506
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akihutubia wananchi eneo la Mnazi Mmoja.
Aidha, Dk. Bashiru alikumbushia jinsi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alivyowahi kuonya juu ya ubinafsi: .... mkianza kusema mimi - wewe au wao - sisi, hamfiki.
Hivyo, aliwaasa vijana wanaopewa uongozi wawe wanyenyekevu na kuacha papara kwani watapotea kama ambavyo vijana wengi waliowahi kuwa juu walipotea kwa kukosa unyenyekevu.
View attachment 857504
Ukifuga mjusi tegemea kuna siku atageuka joka. Turejee kumbukumbu zetu; Bashite alishawahi kumpigia simu jiwe tena hadharani kwenye Mkutano sasa wenye akili timamu wangeanza kutafakari baada ya tukio lile na haya mauzauza yanayoendeleaView attachment 857507
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally Katika mwendelezo wa mahojiano aliyoyafanya na Raia Mwema, amemnyooshea kidole, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa namna anavyotekeleza majukumu yake ya ukuu wa Mkoa na kudai kuwa kulikuwepo udhaifu katika kushughulikia makontena kutokana na kufanya kazi bila kushirikishana.
Alieleza kuwa, Mkuu wa Mkoa alipaswa kuwashirikisha wenzake tangu hatua za awali, kwa kuwa Serikali ni moja, hakuna cha Waziri wala Mkuu wa Mkoa - wote ni Wateule wa Rais.
Bashiru alimnyooshea kidole Makonda kwa ubinafsi na kukumbushia jinsi ambavyo Mkoa wa Dar es Salaam ni mmojawapo ya Mikoa aliyoitaja hivi karibuni kwa kutotekeleza vyema Ilani ya CCM kutokana kufanya kazi bila ushirikiano.
"Hapa sina maana kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu hapana, ni uongozi mzima chini ya Mkuu wa Mkoa na uongozi mzima chini ya Mwenyekiti wa Chama."
Aliongezea kuwa, "Rais hawezi kwenda kuwafundisha uhusiano mwema, wao wenyewe ndio wanatakiwa kujua kwamba uhusiano mwema kikazi unamjenga zaidi kiongozi yeyote..."
Vilevile, Katibu Mkuu alimuonya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya tabia yake ya kuwaita wakazi wa Dar es Salaam, wananchi (Mkoa) wangu. "Na hii habari ya Dar es Salaam ya Makonda, hakuna Dar es Salaam ya Makonda, ni Dar es Salaam chini ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda."
Bashiru aliongezea kuwa: "Kuna wakati namsikia anasema wananchi wangu, nani kamwambia anao wananchi wake? Hakuna wananchi wako. Hakuna kiongozi anamiliki wananchi, ni wananchi wenzangu."
View attachment 857506
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akihutubia wananchi eneo la Mnazi Mmoja.
Aidha, Dk. Bashiru alikumbushia jinsi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alivyowahi kuonya juu ya ubinafsi: .... mkianza kusema mimi - wewe au wao - sisi, hamfiki.
Hivyo, aliwaasa vijana wanaopewa uongozi wawe wanyenyekevu na kuacha papara kwani watapotea kama ambavyo vijana wengi waliowahi kuwa juu walipotea kwa kukosa unyenyekevu.
View attachment 857504
Hivi hizi akili zenu mnazicopy na kupaste kutoka kwa watu wa marekani tu kwa kuwa ndio bora zaidi au? Ni aibu nchi hii maskini wa pili kutoka mwisho kujilinganisha na marekani mwa kila jambo!Ndiyo maendeleo hayo walahi!
USA , Trump kaitwa IDIOT WITH A MIND OF SIXTH GRADER!
Jiongeze kidogo!
That’s all
Hapa mimi naona tuu kuna watu wameingia CCM juzi tuu, lakini sasa, masikio yanataka kuzidi kichwa!.Vilevile, Katibu Mkuu alimuonya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya tabia yake ya kuwaita wakazi wa Dar es Salaam, wananchi (Mkoa) wangu. "Na hii habari ya Dar es Salaam ya Makonda, hakuna Dar es Salaam ya Makonda, ni Dar es Salaam chini ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda."
Bashiru aliongezea kuwa: "Kuna wakati namsikia anasema wananchi wangu, nani kamwambia anao wananchi wake? Hakuna wananchi wako. Hakuna kiongozi anamiliki wananchi, ni wananchi wenzangu."
Mkuu umenukuu lugha ya kichaa mwingineMimi Daudi Albert Bashite mkuu wa mkoa Wa Mzizima ninawaagiza wananchi wangu kwamba:-
1. "Mtu yeyote atakayeingia kwenye mkoa wangu atoe taarifa kwa serikali ya mtaa ama eneo husika, La sivyo atarudi alipotoka. Sitaki wanachi wangu wabughudiwe"
2. "Mgeni akija kwako akae siku mbili arudi kwao, wananchi wangu wana maisha magumu watateseka kukulisha na kukulea. Hili lisitokee kwenye mkoa wangu, labda nikiwa nmetoka madarakani."