Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,679
- 149,864
Naona hawa wenzutu kuanzia Mkulu ni kama wamemizwa sana na ukosoaji wa Lissu na sasa wanataka kufanya kila liwezekano kum-prove wrong ingawa mimi naona kwa kufanya hivyo wanakuwa ni sawa na watu wasiojua walitendalo.
Mtahangaika wee lakini ukweli utabaki utabaki kuwa ukweli na muda ndio utakuja kuwaumbua.
Ripoti hizi hazijaanza leo hivyo hatutarajii jipya maana sheria na mikataba ni ile ile.
Mtahangaika wee lakini ukweli utabaki utabaki kuwa ukweli na muda ndio utakuja kuwaumbua.
Ripoti hizi hazijaanza leo hivyo hatutarajii jipya maana sheria na mikataba ni ile ile.